Wahuni wa CCM na Zitto Kabwe wameungana kumchafua hayati Magufuli. Wana kisasi sababu alizuia mianya yao ya kufanya ufisadi

Mwache Mwendazake apumzike, kama lilivyopumzika gazeti la Tanzanite na Fahari Yetu. Nani anajali Mwendazake akichafuliwa ilhali utawala wake ulisifika kwa kuchafua watu?
 
Magufuli hachafuliwi na mtu yoyote bali staili yake ya utawala isiyokuwa inaheshimu haki za kiraia,kibinadamu na misingi ya utawala bora ndiyo imemchafua, na katika yote ushenzi uliofanyika kwenye mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ndiyo kabisa ulikuja kuhitimisha utawala wake dhalim na mabavu.
 
Utakuta na weww umemaliza form 4 au six hivi lakini kichwani ni 0
Alafu ndo tutegemee kuwa tuna wasomi tanzania.
 
Ni nini hasa kinawasumbua na hayati huyo.
Kwani ni yeye tu alikuwepo mbona wengine hawatamkwi.
Hii inadhihirisha wazi jinsi alivyoharibu taswira ya uongozi.
Hii ni hatari. Hebu asahaulike kidogo watu wafanye kazi.
 
Huwezi na hutaweza kujilinganisha nae huyo mtu.
Vichwa vyenu mlishakabidhi kwa Mbowe Lema Zito na Tundu, kila wanachosema nyie mnainamisha vichwa na kupiga makofi.
Yaani mimi nijilinganishe na mwizi wa kura?

Mimi nijilinganishe na mwizi wa kura ambae alilinyima Taifa zima haki?!

Yaani mimi nijilinganishe na muuaji ambae alikuwa anaua watu na kuzipakia maiti za watu wasiokua na hatia kwenye viroba na kwenda kuzitupa baharini?

Haki MATAGA hamna akili!😁😁😁
 
Ukweli sikumpenda JPM kwa uharamia wake! Lakini kuna kitu ninaendelea kuchambua kwa uangalifu! Huyu snitch mnafiki Zito Kabwe! Awamu ya tatu alikuwa mwanachama safi wa chadema! Awamu ya nne akaendelea kwa nguvu kijanja huku akisnitch wenzie! Awamu ya nne ndio ile awamu alivuta mkwanja kutoka kwa serikali ili kusaliti CDM hadi akaunti ya ujerumani na kiasi kikajulikana! Ahsante kwa wataalam wa IT kijana Ben Saanane (ZZK anaweza kuwa na mkono). Huyu ZZK ni opportunist mbaya kama swila JPM hakumpa usnitch hivyo akachukia! Kumbukumbu wakati wapinzani wanasusia hotuba ya kufungua bunge la kwanza la JPM yeye alibaki na akasifiwa na JPM. Huyu snitch kuna wakati anaegemea mpaka siasa uozo za udini!. Ukaribu wa SSH na JK umemrudisha huyu mnyonya damu ulingoni!
Shut this idiot out!!
 
Kuna ile zaid ya 2trl ilihojiwa matumiz yake yake mpak ikapelekea CAG Assad kufukuzwa kaz! Kisa alitaka kujua matumiz yake. Ila nyie....

 
Vijana wengi wa cdm,zambarau
Ni wachumia tumbo na mamluki ya CCM
Uki yasema wanakuja kukutukana

Kuna haja ya kuwa na siasa za ukweli
 
Hawataweza JPM ndo rais aliyeonyesha hii nchi ilikwapuliwa Sana.
Aliyofanya miaka 5 bila kwenda kutembeza bakuli nje waliomtangulia hawakuweza kuyafanya kwa miaka 10.

Zitto ni tapeli huyo hatuwezi kupoteza muda,na mdini aliyepindukia.
 
Bora aliyetuibia 1.5 trillion ila alifanya mengi tumeyaona na atakumbukwa kuliko yule aliyetembea na bakuli miaka 10 hatujuwi alipewa sh ngapi? Na katuibia sh ngapi? Hatujuwi kama alikuwa anakuja nazo na kutokomea nazo hatujuwi alichotufanyia watz na deni aliloacha wala haviendani? Na miradi aliyotufanyia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…