Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Ziara za makonda alipokuwa bado ni mwenezi wa CCM ziliibua mambo mengi. Kero na uonevu wa kila namna. Ambao kimsingi ni aibu kwa serikali tawala ya rais Samia.
Rais Samia mwenyewe akatoa tamko kuwa sababu kuna uonevu na madudu mengi dhidi ya Wanannchi basi atakuwa akisikikiza kero za kila mwananchi mmoja mmoja nchi nzima.
Sisi tukajua sasa uhuni labda utadhibitiwaa. Uhuni wa wana CCM waovu.
Hii tu ya Makonda kutamka hadharani kuwa kuna Wahuni wanataka kumtenganisha Raid Samia na hayati JPM ni kosa la kuleta kizaazaa?
Hili mbona lipo wazi. Mbona kuna mmoja alitamka hadharani kuwa enzi za hayati JPM wawekezaji walitekwa na kunyag'anywa pesa zao? Si alimaanisha kuwa sasa ni tofauti na huko nyuma?
Hawajipendekezi na kufanya unafiki?