Wahuni wa Kinshasa Julai 17 1997- Desemba 25 2024

Wahuni wa Kinshasa Julai 17 1997- Desemba 25 2024

Nelson Jacob Kagame

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2022
Posts
9,576
Reaction score
13,545
Maisha yanaenda kwa kasi mno.
Ni miaka mingi imepita ila nawakumbuka ndugu zangu vijana wa kitanzania....kutoka Mbagala, Temeke, Kinondoni na Kariakoo walioenda ukanda wa maziwa makuu kujitafutia mawe.
Kinshasa ya zamani sio hii ya leo.
Kigali ya zamani sio hii ya leo
Bujumbura ya zamani sio hii ya leo
Dar ya zamani sio hii ya leo.

Kabla ya yote niombe Mungu awalaze mahali pema peponi ndugu zangu hawa.
1 : Rais wa Rwanda.....Anko Juve.
2 : Rais wa Zaire.......Anko Seseseko.
3 : Kanali Fred wa RPF.
4 : My brother Hamed.
5 : Col Rutaremwa.
6 : My homie James Zugazuga.
Wengine wengi siwezi kuwataja hapa Bali nitawataja mbeleni Uzi uliendelea.

MAISHA YANATUFUNZA...KUFA HATUFI ILA CHA MOTO TUNAKIONA.
WATOTO WA KIUME TUNAKAZA

HATUKUZALIWA FAMILIA ZA KISHUA....ILIBIDI TUHANGAIKE KUWATUNZA WANAOTUTEGEMEA.

I HOPE HUU UZI SITOZUIWA NA WAHUSIKA KUENDELEA KUUANDIKA.
MAANA UZI ZANGU ZOTE..... WAHUSIKA WAGA WANANIKATAZA.
NA MIMI NATII SHERIA BILA SHURUTI.

Baada ya ukimya mrefu nimerudi Ili niwape story wadogo zangu kuhusu harakati za kutafuta tulizopitia kaka zenu.

STORY HII INAANZIA KINSHASA JULY 17 1997

Karibuni sana.

Screenshot_20250104-131122.png
 
Maisha yanaenda kwa kasi mno.
Ni miaka mingi imepita ila nawakumbuka ndugu zangu vijana wa kitanzania....kutoka mbagala na temeke na kinondoni na kariakoo walioenda ukanda wa maziwa makuu kujitafutia mawe.
Kinshasa ya zamani sio hii ya leo.
Kigali ya zamani sio hii ya leo
Bujumbura ya zamani sio hii ya leo
Dar ya zamani sio hii ya leo.
Kabla ya yote niombe Mungu awalaze mahali pema peponi ndugu zangu hawa.
1 : Raisi wa Rwanda.....Anko Juve.
2 : Raisi wa Zaire.......Anko Seseseko.
3 : Kanali Fred wa RPF.
4 : My brother Hamed.
5 : Col Rutaremwa.
6 : My homie James Zugazuga.
Wengine wengi siwezi kuwataja hapa Bali nitawataja mbeleni Uzi uliendelea.
MAISHA YANATUFUNZA...KUFA HATUFI ILA CHA MOTO TUNAKIONA.
WATOTO WA KIUME TUNAKAZA.

View attachment 3193900
Hommie ,ilikuwa lazima upigwe Pin katika uzi ule maana ulikuwa unazifungua code mno Kaka .

Sema pamoja ,kheri ya mwaka mpya Kaka ,niombee mwanenu Kati si Safi na mwisho majuto yananichukua
 
Naam
Muhuni hapo ni
Mobutu Sese Seko Kuku Ng'bendu wa Zabanga wa Zaiir.(Zaire)
 
Hommie ,ilikuwa lazima upigwe Pin katika uzi ule maana ulikuwa unazifungua code mno Kaka .

Sema pamoja ,kheri ya mwaka mpya Kaka ,niombee mwanenu Kati si Safi na mwisho majuto yananichukua
MUNGU NI MWEMA HOMMIE NAKUOMBEA RIGHT NOW.......... NICHEKI INBOX MDOGO WANGU
USIKATE TAMAA
 
MAMBO YALIANZIA HAPA.
NYUMBANI KWA LESAPEE MUNDENDE.
UTAMU WA NGOMA INGIA UUCHEZE.
PART : 1...... KINSHASA.
Hakuna asiyependa maisha mazuri kama ya watoto na ndugu wa Anko Mobutu.
Ukizingatia mipango yote alikua nayo bosi wetu KENGE WANDONGO.
Na Kinshasa ilikua haikaliki na Miata mitatu nyuma mjomba Juve alikufa kifo cha utata.
Pale Kigali.....nchi wamekamata watu warefu na wanalipa kisasi kwa mauaji ya kimbali kwa kuwaandama watu wafupi wenye pua pana mpaka ndani ya Zaire na wanakaribia Kinshasa.
Huku Zaire nako majimbo ya Kivu kaskazini na Kivu kusini watu wafupi wenye pua pana wanawaandama kwa kuwaua watu warefu wenye pua ndefu.....wakiwaita migomba mirefu iliyolala.
Kwa kifupi ilikua vurugu nchi haitawaliki tena.
TAARIFA KAMILI IKATOKA.
BOSI KASEMA KILA MTU AFE NA CHAKE.
WATOTO WA DAR TUKAONA HII FURSA....NA UKIZINGATIA NYUMBANI TANZANIA BABA MKUBWA BENI HANA NOMA....AMETULIA ZAKE MAGOGONI ANAPIGA MVINYO.
TUKAMUOMBA USHAURI......JIBU LIKAJA.
MTAJI WA MASIKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE.
WATOTO WA DAR TUNASEMA FISI KAPEWA BUCHA 🤣🤣🤣🤣🤣.
Sasa plan au mpango kazi ukawa...hakuna kuchukua upande.....hakuna kujiingiza kwenye siasa au ukabila.......tumekuja.
Kinshasa...... Kigali.........Goma....... Bujumbura......Kisangani kutafuta Hela.
Hatuna tofauti na walebanoni wazee wa chako changu na changu ni changu.
PART : 2
Tatizo likaja pale Kinshasa..mwenyeji wetu LESAPEE MUNDENDE AKATUAMBIA KUA..BOSI WETU KENGE WADONGO KATUTELEKEZA.
MJOMBA SESESEKO HAELEWEKI NA DOGO SADDAM MAPEPE MENGI......NA UKIZINGATIA SERIKALI INAELEKEA KUPOTEZA MAMLAKA YAKE.
WAZO LIKAJA.
FASTA FASTA TUJIFANYE WANYARWANDA MAMBO YAENDE ISIWE TABU.
Basi kaka mkubwa LESAPEE MUNDENDE akatushauri tuingie kule CABINDA kwa mda wakati mambo yamekaa vibaya......yakitulia tutarudi Kinshasa.......hapo watoto wote wa dar tukaenda CABINDA.
Taarifa ikaja tukiwa CABINDA kua WANYARWANDA wameichukua Kinshasa ila wakongomani hawawakubali........ basi TUKAONA HAINA HAJA KUJIFANYA WANYARWANDA...WACHA WATU TU WATUJUE KAMA WATANZANIA......HAPO NDIPO KULIPOZALIWA JINA LA WAHUNI WA KINSHASA.
JINA HILI LILITOKEA PALE CABINDA.....ARIDHI YA ANGOLA KWENYE FUKWE ZA BAHARI YA ANTILANTIKI.
Tunaendelea.........!!!!
 
Back
Top Bottom