Wakudadisi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 626
- 528
Iendelee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kukupiga spana za maana kule jukwaa la sports umekimbilia huku.Tuko hapa Bro, shusha vitu.
Yani mimi kukudharau ndio unaona sifa? Nimekuona hamnazo huna hoja.Baada ya kukupiga spana za maana kule jukwaa la sports umekimbilia huku.
Nawewe tushushie story yako tujifunze thenMkuu kwanza nakupa hongera,pili embu shusha Madini hayo,Uzi wako umekuja wakati muafaka kwa kuwa ndio tunaanza mwaka 2025 naimani wapo Vijana watajifunza kitu hapa kuhusu Maisha na jinsi gani Vijana wa Tanzania miaka ya nyuma walivyokuwa ma Mafia katika kutafuta maisha nje ya nchi,Stori za namna hii ndio zilinifanya mwaka 2006 nianze harakati za kukimbilia nchi za kusini mwa Afrika, nashukuru nimevuruga karibu nchi zote za Sadc