Wahuni wa Kinshasa Julai 17 1997- Desemba 25 2024

Asante...
 
Ila watanzania sisi tunajifungia sana, itabidi tuchangamke asee
Kwa amani hii tuliyonayo, tutoke kwenda kwenye nchi zenye machafuko tukafanye nini wakati kama ni migodi na rasilimali tunazo za kutosha.

Hizi namba tuendelee kuzisoma na kuziona kwenye movie tu. Kwa tone hii ya uandishi ya mtoa mada, nachelea kutabiri kwamba hakutoboa licha ya risks zote alizopambana nazo
 
Bora niwaambie wamtest mbuzi kwenye risasi nione kama hatakufa.😀😀
Haaahaa, utajuaje Kama dawa inafanya kazi.. ☺️😊

Lazima utestiwe...yule brother angu alinambia ukiwa mwoga mnapanga mstari unageuka kuipa mgongo bunduki....then jamaa ana mimina risasi

Zipo simulizi nyingi Sana humu Jf za makamanda wa police huko Kagera hususani NGARA NA BIHARAMULO Kuna mijambazi yalikua yakikamatwa yanapigwa bunduki, mawe, mapanga, choma moto haungui
 
Kuna movie inaitwa 'War Witch' na kama siyo 'Beasts with no Nation', wame-act hii nadharia unayoiongelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…