Wahuni wa Kinshasa Julai 17 1997- Desemba 25 2024

Wahuni wa Kinshasa Julai 17 1997- Desemba 25 2024

Maisha yanaenda kwa kasi mno.
Ni miaka mingi imepita ila nawakumbuka ndugu zangu vijana wa kitanzania....kutoka Mbagala, Temeke, Kinondoni na Kariakoo walioenda ukanda wa maziwa makuu kujitafutia mawe.
Kinshasa ya zamani sio hii ya leo.
Kigali ya zamani sio hii ya leo
Bujumbura ya zamani sio hii ya leo
Dar ya zamani sio hii ya leo.

Kabla ya yote niombe Mungu awalaze mahali pema peponi ndugu zangu hawa.
1 : Rais wa Rwanda.....Anko Juve.
2 : Rais wa Zaire.......Anko Seseseko.
3 : Kanali Fred wa RPF.
4 : My brother Hamed.
5 : Col Rutaremwa.
6 : My homie James Zugazuga.
Wengine wengi siwezi kuwataja hapa Bali nitawataja mbeleni Uzi uliendelea.

MAISHA YANATUFUNZA...KUFA HATUFI ILA CHA MOTO TUNAKIONA.
WATOTO WA KIUME TUNAKAZA

HATUKUZALIWA FAMILIA ZA KISHUA....ILIBIDI TUHANGAIKE KUWATUNZA WANAOTUTEGEMEA.

I HOPE HUU UZI SITOZUIWA NA WAHUSIKA KUENDELEA KUUANDIKA.
MAANA UZI ZANGU ZOTE..... WAHUSIKA WAGA WANANIKATAZA.
NA MIMI NATII SHERIA BILA SHURUTI.

Baada ya ukimya mrefu nimerudi Ili niwape story wadogo zangu kuhusu harakati za kutafuta tulizopitia kaka zenu.

STORY HII INAANZIA KINSHASA JULY 17 1997

Karibuni sana.

View attachment 3193900
Daaah Anko afadhali tulikutafuta sanaa humu kimnya mwishowe tukajua wabangu bangu wamekunywa mchuzi😅😅😅 karibu sana na heri ya mwaka mpya
 
Hapa nitapenda kusikia habari za kisangani, bafaswende, mambasa, niania, bangedaido, butembo, bwera, Kasindi, nitapenda ugusie jinsi waarabu wa taqwa , classic walivyotajirishwa na bangi na dhahabu za magendo, nitapenda kusikia kama makako mlikula, nitapenda kusikia visa vya akina general Salim Saleh wa Uganda mdogo wa muse7 , jinsi walivyo vuna mbao pori kupeleka ulaya na dhahabu za kutosha , nitapenda ugusie vita ya wanajeshi wa Uganda na Rwanda kisangani kugombea maeneo yenye madini mengi , nitapenda ugusie wanajeshi wa Rwanda na Uganda waliojipatia mabilioni ya dollar kwenye dili za magendo ya oral au dhahabu na diama au almasi , nitapenda uelezee biashara ya risasi haramu zilivokua zinaingia Congo kutokea Kenya Mombasa zikitokea Pakistan , umenikumbusha visa vingi pia hapa ngoja nilewe kwanza madogo wa Leo laini Sana , enzi hizo Ajira majeshi ya Congo nanrwanda hata uraia hawaulizi mtaulizana baadae na uraia utapewa baadae , Congo , zairwa Acha wateseke ni shamba la Bibi kitambo
Kwamba wabongo waliingia jeshini huko miaka hiyo?
 
Back
Top Bottom