Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani hii dunia ina wakuu wake..mimi natosheka na ninachokipataKIBWAGIZO :
Unajua changamoto ninayokumbana nayo wakati wa kuandika hizi habari ni mda wa kuandika.
Mfano karibia wiki nzima nipo mbeya huko maporini napambania kombe.....hivyo mda wa kuandika nakua Sina.
Najua ninapata lawama ila tuvumiliane tu ndugu zangu.
Wakati naandika hii habari nikapata mchongo kua hapo mbeya Kuna sehemu inadhaniwa kua na dhahabu....jinq la hiyo sehemu sitoitaja.
Nikachukuana Mimi na team yangu....moja kwa moja mpaka mbeya machakani.
Mwenyeji wetu AKATUAMBIA kua kabla ya kufika huko lazima tupitie kwa wazee kuomba RUHUSA.
Nikauliza wazee wa ukoo au wazee wa kilinge???
NIKAJIBIWA WAZEE WA KILINGE...AU KWA UWAZI BILA KUTAFUNA MANENO 😂😂😂 WACHAWI WA ENEO HUSIKA.
SASA KUWAONA HAO WACHAWI INABIDI TUWAONE USIKU NA SIO MCHANA.
KUMBUKA HII NI MBEYA NA SIO ZAIRE.
**********************
HAPO NDIPO NAPOKUBALIANA NA UKWELI KUA WAAFIRIKA NA USHIRIKIANA NI DAMU DAMU.
SASA KWA WILAYA ILE YA MBEYA HUWEZI KUWAONA WAKUU WA UCHAWI MPAKA UWE NA KIBALI.......NA MTOA KIBALI NDIO ALIKUA HUKO NDANI NDANI MAPORINI.........NA HUYO NDIO MSIMAMIZI WA MASHIMO YOTE YA MAWE.
KUNA KITU NINGEPENDA NIWAFAHAMISHE WATU....HII DUNIA KILA KITU KINA MWENYEWE.
KAMA MNABISHA SAWA.
HIVYO TUKAWA KIGULU NA NJIA KWENDA KUMUONA HUYO MKUU WA KILINGE AU MZEE WA UKOO ATUPE RUHUSA TUONE MALI IMEJIFICHA WAPI...!!!
KWA HIYO KWA KIFUPI NDIO MAANA NIKAACHA KIDOGO KUANDIKA.
TUENDELEE NA KIBWAGIZO.
KWA MUJIBU WA YULE MZEE WA KILINGE ALIDAI MALI ZIPO NA ZINAPATIKANA ILA LAZIMA MASHARTI NA VIGEZO VIZINGATIWE.
NA MASHARTI YENYEWE NI HAYA.....ILI UPATE UPEPO WA KUYAKAMATA MAWE.
1 : USILALE NA MWANAMKE MACHIMBONI.
2 : USIVAE NGUO NYEUSI JUMATATU/JUMATANO.
3 :USIVAE NGUO ZA NDANI DAIMA.
4 : SADAKA YA DAMU INAYOBADILIKA.
5 : KIAPO CHA UTATU MTAKATIFU.
6 : KUMKANA MAMA YAKO MZAZI.
7 : KIAPO CHA KUUKANA UTU/UBINADAMU.
8 :MAAGANO NA MALAIKA WA GIZA ILI AKUPE RIDHAA YA KUCHUKUA MADINI YAKE.
9 :KIAPO CHA USIRI ULIOTUKUKA KATI YAKO KAMA BINADAMU NA ULIMWENGU WA NJE YA UHAI.
**********************************************.
MIMI MARA MOJA AKILI YANGU IKAGOMA....NIKAJUA HUO NI UTAFUTAJI WA MALI ZA REHANI......HAYO MAMBO NIMEKUTANA NAYO ZAIRE......ENZI HIZO.
MADINI YOTE YA ZAIRE YANA WENYEWE...HIVYO KUYAPATA NI LAZIMA UFANYE REHANI.
MFANO MZURI NI MJOMBA SESESEKO ALIFANYA REHANI AKAYAPATA YA KUTOSHA.
BASI NIKAMWAMBIA YULE MZEE MWAKILISHI WA UKOO...KUA SISI TULIKUJA KUTAZAMA MADINI NA MACHIMBO KATIKA HALI ZA UBINADAMU NA HATUKO TAYARI KUVUKA HAPO.
KAMA HATUWEZI KUONYESHWA MAWE YALIPO BASI TUNAONDOKA.
BASI TUKAMLIPA HELA YA USUMBUFU NA AKATUTAKIA SAFARI NJEMA..TUKAONDOKA KURUDI MBEYA MJINI...DILI LIMEKUA GUMU.
NDIO MAANA NILIKAA KIMYA NILIKUA SIANDIKI CHOCHOTE SABABU NILIKUA SAFARINI.
TUTAENDELEA NA SIMULIZI YETU YA KINSHASA
Daaaaah kumkana mama tena?Maana yake kuukana uwepo wako wa hapa duniani aseeKIBWAGIZO :

Ukisha mkana Wana kwambia mtoe, si sio ndugu yako Ume mkataa 😆🤣Daaaaah kumkana mama tena?Maana yake kuukana uwepo wako wa hapa duniani asee
Kibali kizito hicho, ni sawa ule moto 😂 😁Bro anazingua, nasubiri amalize nije kusoma yote.
Naona alikuwa busy kufuatilia ‘kibali’ machakani huko 😂
N hauna ujanja nasikia kule hakuna neno hapana ni kutii tuUkisha mkana Wana kwambia mtoe, si sio ndugu yako Ume mkataa 😆🤣
Nita gawa dozi, wakimbie wenyewe😂N hauna ujanja nasikia kule hakuna neno hapana ni kutii tu
SISU.Linafuata zoezi la kutest kukatwa na panga, risasi e.t.c yaan unakua IMMORTAL ukipigwa risasi hazipitii..ukikatwa panga halipiti.
Sisu lijamaa lililua na bahati ya mtendee..SISU.