Wahuni wameniibia Main switch na wire wa kupeleka umeme kwenye main switch

Wahuni wameniibia Main switch na wire wa kupeleka umeme kwenye main switch

Hivi kuna sehemu ina vibaka wengi kwa sasa kama moshi!!?
Moshi mjini au moshi vijijini? Wanaiba vitu gani? Saa ngapi-usiku au mchana?

Ukiibiwa waone African doctors vitu vyako virudi fasta.

African doctors pia wana uwezo wa kuwaotesha mshipa wezi wako
 
Hamia Kisasa,Ilazo Mwangaza ni sehemu salama sana kwa hapa Dodoma.
Hayo maeneo kiwanja hupati na kama kipo hiyo bei yake ni hatari,...kwa suala la usalama, area D,area C,kisasa,ilazo (hii ya martin Luther ) very safe
 
Hali ni mbaya kuna yale mawe meupe ya urembo yapo kama kokoto hivi. Jamaa kayazungushia nyumba yake wezi wamekuja wameyaiba yote nilichoka

images (7).jpeg
 
Dodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa.
Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch.
Je kuna haja ya kuripoti suala hili kwa TANESCO?
Hivi kuna sehemu ina vibaka wengi kwa sasa kama moshi!!?
Sidhani kama kuna maeneo pamekua na vibaka wengi kama Tabora, Uledi.
Last week wamekata grill ya choo cha nje na wakang'oa sink ya choo wakaondoka anavyo...😥
 
Dawa ni kuweka ndoo ya maji karibu na dirishani, wakipuliza ile dawa inavutwa na maji. Asubuhi maji unayamwaga
Maji yanavutaje dawa? Achana na story za chini ya mwembe mzee...
Hata kama ni kweli yan uanze kuweka mandoo ya maji dirishan, serious?
 
Yote ni njaa, njaa kali sana hii nchi!
 
Cha kwanza kabisa walioiba ni mafundi wako na cha pili msidanganyane eti Ilazo is safe Mimi nipo hii Ilazo ya Martin yani usalama wa Ilazo sasa hivi ni kila nyumba inaweka uzio wa umeme la sivyo Ilazo wanatembea kikundi wanaiba mtaa kwa mtaa
Ilazo ndo wapi?
 
Dodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa.
Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch.
Je kuna haja ya kuripoti suala hili kwa TANESCO?
Ingekuwa Mita sawa,maana ile ni mali ya Tanesco! Lakini vifaa vingine sijui.
Lakini you never know wakati mwingine ni mafundi wale wale waliokufanyia wiring ndiyo wanaojuana na hao vibaka.
 
Back
Top Bottom