Tulia weweee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia weweee
Ndio haraka sana tengeneza na loss report ukiacha hivyo watasema kwamba ni wewe ndio ulifanya tempering huenda ulitaka kuiba umemeDodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa.
Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch.
Je kuna haja ya kuripoti suala hili kwa TANESCO?
Hii ni kemia mazee. Waachie waliopiga umande wachambue .Maji yanavutaje dawa? Achana na story za chini ya mwembe mzee...
Hata kama ni kweli yan uanze kuweka mandoo ya maji dirishan, serious?
Maarufu kwa jina la "Kumi nje Kumi ndani"Cha kwanza kabisa walioiba ni mafundi wako na cha pili msidanganyane eti Ilazo is safe Mimi nipo hii Ilazo ya Martin yani usalama wa Ilazo sasa hivi ni kila nyumba inaweka uzio wa umeme la sivyo Ilazo wanatembea kikundi wanaiba mtaa kwa mtaa
Huku kwetu tulipiga mpk tukamfikisha mwizi peponi. Halafu tukauacha mwili wake masaa 16 barabarani kabla ya taarifa kupelekea polisi ili kila kibaka ashuhudie. Mpk leo hata hela ikiokotwa inatangazwa.Inabidi muonyeshe adivataizi mwizi mmoja ili ije kuwa fundisho kwa wengine ,wekeni mpango mkakati wa kumkamata mwizi mmoja kisha kata misuli ya miguuu kisha mvalisheni tyre mpigeni moto ,mkifanya hivyo inaweza kupita miaka miwili hamjaibiwa.
Itakuwa mbagala kizuianiHuku kwetu tulipiga mpk tukamfikisha mwizi peponi. Halafu tukauacha mwili wake masaa 16 barabarani kabla ya taarifa kupelekea polisi ili kila kibaka ashuhudie. Mpk leo hata hela ikiokotwa inatangazwa.
Huku kwetu tulipiga mpk tukamfikisha mwizi peponi. Halafu tukauacha mwili wake masaa 16 barabarani kabla ya taarifa kupelekea polisi ili kila kibaka ashuhudie. Mpk leo hata hela ikiokotwa inatangazwa.