Wahuni wameniibia Main switch na wire wa kupeleka umeme kwenye main switch

Wahuni wameniibia Main switch na wire wa kupeleka umeme kwenye main switch

Dodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa.
Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch.
Je kuna haja ya kuripoti suala hili kwa TANESCO?
Ndio haraka sana tengeneza na loss report ukiacha hivyo watasema kwamba ni wewe ndio ulifanya tempering huenda ulitaka kuiba umeme
 
Maji yanavutaje dawa? Achana na story za chini ya mwembe mzee...
Hata kama ni kweli yan uanze kuweka mandoo ya maji dirishan, serious?
Hii ni kemia mazee. Waachie waliopiga umande wachambue .
 
Cha kwanza kabisa walioiba ni mafundi wako na cha pili msidanganyane eti Ilazo is safe Mimi nipo hii Ilazo ya Martin yani usalama wa Ilazo sasa hivi ni kila nyumba inaweka uzio wa umeme la sivyo Ilazo wanatembea kikundi wanaiba mtaa kwa mtaa
Maarufu kwa jina la "Kumi nje Kumi ndani"
 
Inabidi muonyeshe adivataizi mwizi mmoja ili ije kuwa fundisho kwa wengine ,wekeni mpango mkakati wa kumkamata mwizi mmoja kisha kata misuli ya miguuu kisha mvalisheni tyre mpigeni moto ,mkifanya hivyo inaweza kupita miaka miwili hamjaibiwa.
Huku kwetu tulipiga mpk tukamfikisha mwizi peponi. Halafu tukauacha mwili wake masaa 16 barabarani kabla ya taarifa kupelekea polisi ili kila kibaka ashuhudie. Mpk leo hata hela ikiokotwa inatangazwa.
 
Hakuna mtanzania wa kuokota hela akatangaza uo ni ulongo.
 
Huku kwetu tulipiga mpk tukamfikisha mwizi peponi. Halafu tukauacha mwili wake masaa 16 barabarani kabla ya taarifa kupelekea polisi ili kila kibaka ashuhudie. Mpk leo hata hela ikiokotwa inatangazwa.
Itakuwa mbagala kizuiani
 
Huku kwetu tulipiga mpk tukamfikisha mwizi peponi. Halafu tukauacha mwili wake masaa 16 barabarani kabla ya taarifa kupelekea polisi ili kila kibaka ashuhudie. Mpk leo hata hela ikiokotwa inatangazwa.

Yes ukionyesha mfano kwa wezi jinsi mnavyofanya hakuna atakayeiba tena hapo......Mimi nilishawahi kuibiwa vitu site ,nikaonyesha advataizi mpaka leo sijawahi kuibiwa....wezi mkiwachekea nao wanaachia mabua.
 
Back
Top Bottom