Dawa ni kuweka ndoo ya maji karibu na dirishani, wakipuliza ile dawa inavutwa na maji. Asubuhi maji unayamwagaDawa za usingizi siku hizi ndo zimeshamiri...juzi jirani yetu ameamkia sakafuni wamebeba hadi magodoro
Moshi mjini au moshi vijijini? Wanaiba vitu gani? Saa ngapi-usiku au mchana?Hivi kuna sehemu ina vibaka wengi kwa sasa kama moshi!!?
Hayo maeneo kiwanja hupati na kama kipo hiyo bei yake ni hatari,...kwa suala la usalama, area D,area C,kisasa,ilazo (hii ya martin Luther ) very safeHamia Kisasa,Ilazo Mwangaza ni sehemu salama sana kwa hapa Dodoma.
Hizi kokoto ni dili sana, wanatumiaga kujengea floor za terazo...sasa ukizitandaza tu chini namna hii, watu lazima wapite nazoHali ni mbaya kuna yale mawe meupe ya urembo yapo kama kokoto hivi. Jamaa kayazungushia nyumba yake wezi wamekuja wameyaiba yote nilichoka
View attachment 2656450
Wezi wameruka ukuta wakazikomba zoteHizi kokoto ni dili sana, wanatumiaga kujengea floor za terazo...sasa ukizitandaza tu chini namna hii, watu lazima wapite nazo
Angemwaga na gundiHali ni mbaya kuna yale mawe meupe ya urembo yapo kama kokoto hivi. Jamaa kayazungushia nyumba yake wezi wamekuja wameyaiba yote nilichoka
View attachment 2656450
Dodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa.
Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch.
Je kuna haja ya kuripoti suala hili kwa TANESCO?
Sidhani kama kuna maeneo pamekua na vibaka wengi kama Tabora, Uledi.Hivi kuna sehemu ina vibaka wengi kwa sasa kama moshi!!?
Maji yanavutaje dawa? Achana na story za chini ya mwembe mzee...Dawa ni kuweka ndoo ya maji karibu na dirishani, wakipuliza ile dawa inavutwa na maji. Asubuhi maji unayamwaga
Sure nimeibiwa sana ule waya unaotoka kwenye nguzo kuja kwenye meterHahaha huu uhuni upo Sana haswa Jiji la Mwanza.
Wanaibaje aisee?!! Ule waya si unakuaga na umeme?Sure nimeibiwa sana ule waya unaotoka kwenye nguzo kuja kwenye meter
Moja ya vitu vigumu kuelewa ni hiki.Wanaibaje aisee?!! Ule waya si unakuaga na umeme?
Kweli. Kuna mtu alimshauri hivyo piaAngemwaga na gundi
Hakuna mhemko hapo mkuu!Ni ushauri we huoni hiyo hasara?!!!!Umejibu kwa mhemko!! yaan mtoa mada auze sehemu aliyopo ili akahamie huko kisa hakuna vibaka!!?? Jeiefu bana[emoji848]
Ilazo ndo wapi?Cha kwanza kabisa walioiba ni mafundi wako na cha pili msidanganyane eti Ilazo is safe Mimi nipo hii Ilazo ya Martin yani usalama wa Ilazo sasa hivi ni kila nyumba inaweka uzio wa umeme la sivyo Ilazo wanatembea kikundi wanaiba mtaa kwa mtaa
Ingekuwa Mita sawa,maana ile ni mali ya Tanesco! Lakini vifaa vingine sijui.Dodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa.
Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch.
Je kuna haja ya kuripoti suala hili kwa TANESCO?