Wahuni wasiofahamu maana ya ujana wameanzisha mpango wa kuchoma Trasformer za umeme

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,651
Reaction score
1,129
Kuna mpango unaendelea wa kundi la wahuni, unapanga kuchoma transformer za umeme october 29/2026

Mpango huu ni wa kulaani kwa nguvu zote kwasababu utalaza wananchi giza kwa muda usiokuwa na kikomo

Wananchi mlioko karibu na transformer za umeme kuweni walinzi kwasababu transformer mnazoziona ndizo zinazowapa nishati ya kufanya kazi na vyombo vyote vya umeme pamoja na mwanga

Transformer ikihujumiwa hamtapa umeme mtalala gizani si hivyo tu hamtaweza kufanya kazi kwasababu vyombo vyote vya umeme vitasimama

Vilevile kugandisha vyakula hakutawezekana tena kwasababu Friji hazitafanyakazi tena si hivyo tu bali hamtapata mawasiliano kwasababu kuna baadhi ya mitambo inatumia umeme kurusha mawasiliano kwenda kwenye satellite ndipo satellites zinasambaza duniani

Tafadhali sana harakati hazihusiani na kuharibu miundombinu ya nchi

Hawa wahuni ni wakulaani kwa nguvu zote

Uhuni sio maana halisi ya Gen Z

Hawa ni wahuni na hawapaswi kufumbiwa mambo kwasababu matatizo watakayosababisha yataathiri kila mwananchi
 
Kijana, unaweza kusaidia jeshi la polisi kuweza kuwabaini hawo vijana kabla ya oktoba 29...?
Tafadhal hiyo mada yako kairipoti kituo cha polisi kilicho karibu na wewe ili kuzuia hilo tukio
 
Au ni Lissu anawatuma 🤣🤣🤣? Shenzi sana. Amani hailetwi kwa risasi.
 
Hamna watakachofanikisha zaidi ya kuwaaminisha watanzania kua oct29 ilikua ni gem ya watu na wala sio maandamano
 
Kuna mpango unaendelea wa kundi la wahuni, unapanga kuchoma transformer za umeme october 29/2026

Mpango huu ni wa kulaani kwa nguvu zote kwasababu utalaza wananchi giza kwa muda usiokuwa na kikomo

Wananchi mlioko karibu na transformer za umeme kuweni walinzi kwasababu transformer mnazoziona ndizo zinazowapa nishati ya kufanya kazi na vyombo vyote vya umeme pamoja na mwanga

Transformer ikihujumiwa hamtapa umeme mtalala gizani si hivyo tu hamtaweza kufanya kazi kwasababu vyombo vyote vya umeme vitasimama

Vilevile kugandisha vyakula hakutawezekana tena kwasababu Friji hazitafanyakazi tena si hivyo tu bali hamtapata mawasiliano kwasababu kuna baadhi ya mitambo inatumia umeme kurusha mawasiliano kwenda kwenye satellite ndipo satellites zinasambaza duniani

Tafadhali sana harakati hazihusiani na kuharibu miundombinu ya nchi

Hawa wahuni ni wakulaani kwa nguvu zote

Uhuni sio maana halisi ya Gen Z

Hawa ni wahuni na hawapaswi kufumbiwa mambo kwasababu matatizo watakayosababisha yataathiri kila mwananchi
Huanza kama tetesi, huisha kwa risasi tusipuuze
 
Hili halikubaliki, japo wanapinga waovu, uovu haundolewi kwa uovu. Hiyo ni miundombinu ya umma haipaswi kuharibiwa tutakosa umeme
 
Msiwage mnaanzisha taharuki kwa wahuni hao. Wahuni gani hao wanaojilipua wenyewe kwa kujizimia umeme?
 
Sjui wamepanga kuchoma mida gani... Tunaskilizia apdets.
 
SISI WATANZANIA NDIYO WALINZI TUKIMKAMATA MTU HUYO LIVES BASI TUMVIKE TU TAIRI TUPIGE KIBERITI.
 
Nendeni mkajiue wenyewe mna mijitu imekaa nyumbu
 
Kuna mpango unaendelea wa kundi la wahuni, unapanga kuchoma transformer za umeme october 29/2026

Mpango huu ni wa kulaani kwa nguvu zote kwasababu utalaza wananchi giza kwa muda usiokuwa na kikomo

Wananchi mlioko karibu na transformer za umeme kuweni walinzi kwasababu transformer mnazoziona ndizo zinazowapa nishati ya kufanya kazi na vyombo vyote vya umeme pamoja na mwanga

Transformer ikihujumiwa hamtapa umeme mtalala gizani si hivyo tu hamtaweza kufanya kazi kwasababu vyombo vyote vya umeme vitasimama

Vilevile kugandisha vyakula hakutawezekana tena kwasababu Friji hazitafanyakazi tena si hivyo tu bali hamtapata mawasiliano kwasababu kuna baadhi ya mitambo inatumia umeme kurusha mawasiliano kwenda kwenye satellite ndipo satellites zinasambaza duniani

Tafadhali sana harakati hazihusiani na kuharibu miundombinu ya nchi

Hawa wahuni ni wakulaani kwa nguvu zote

Uhuni sio maana halisi ya Gen Z

Hawa ni wahuni na hawapaswi kufumbiwa mambo kwasababu matatizo watakayosababisha yataathiri kila mwananchi

Ndugu mteja mteja,

Asante kwa taarifa hiyo, kama ulivyoeleza huduma ya umeme ni moja ya huduma muhimu majumbani,kwenye biashara hata hospitalini.

Hivyo ni jukumu la kila mmoja kuendelea kutunza miundombinu hiyo kwa huduma endelevu.

Asante. ^HN
 
Back
Top Bottom