Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena bila aibu
Ni wapumbavu peke yao ndiyo wanaamini kuwa Mbowe ana tuhuma. Angekuwa na hizo tuhuma DPP asingefanya hayo aliyofanyaKama kweli ana akili angejitetea ila kukubali kuondoka bila kujitetea na hukumu ya mahakama kumsafisha then bado tuhuma zinabakia vile vile.
Mnamiaka 30 kwenye siasa ila makosa ya vyama vya upinzani ni yale yale siku zote.
Tumwombe popote alipo afanye kama anajikuna tumwone.!Aibu Kwa Jaji Kwa maamuzi aliyofanya!Watu wamebumba ushahidi wakaja kuuleta mahakamani,kila mtu akaona ni ushahidi wa mchongo na hakuna kesi!Jaji akasukumwa kuamua kuwa Wana kesi ya kujibu!Kabla hawajaanza kujitetea DPP anasema hana nia ya kuendelea na kesi maana ushahidi alionao ni crap!
Jaji unajisikiaje huko uliko?Ungeyajua haya,Bado uamuzi wako ungekuwa watuhumiwa Wana kesi ya kujibu?
Kama unafikiri Jaji alikuwa hayajui haya wewe utakuwa unachangia sana watawala kufungulia watu kesi za michongo kama hii. Katika shauri hili kila aliyehusika kuanzia mkamataji, mpelelezi, shahidi, mwendesha mashtaka, jaji wote walikuwa wa michongo!!Aibu Kwa Jaji Kwa maamuzi aliyofanya!Watu wamebumba ushahidi wakaja kuuleta mahakamani,kila mtu akaona ni ushahidi wa mchongo na hakuna kesi!Jaji akasukumwa kuamua kuwa Wana kesi ya kujibu!Kabla hawajaanza kujitetea DPP anasema hana nia ya kuendelea na kesi maana ushahidi alionao ni crap!
Jaji unajisikiaje huko uliko?Ungeyajua haya,Bado uamuzi wako ungekuwa watuhumiwa Wana kesi ya kujibu?