- Thread starter
- #61
Hapana asilipe kisasi amuache tu ndiyo binadamu tulivo Mana yake Mbowe ndo anapata Neema na Baraka zaidi
Watu wasiokuwa na shukurani kama hawa kuwawajibisha siku moja moja kwa midomo yao michafu ni halali.
Kwamba aliudhika mno? Kwamba Mbowe si gaidi?
Kwa maoni binafsi, huyu chawa si wa kufumbia macho!
Hiiiiii bagosha!