Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,154
- 7,083
Habari JamiiForums.
Update 25/02/2022
Hali inazidi kuwa mbaya watu wanakoswa koswa na magari kisa Machinga.
Serikali iko wapi watu wanajiamulia mambo bila kufuata Sheria.
============
Hapa Mbezi Louis machinga wamerudi na kuwa kero tena kwa watembea kwa miguu.
Sina maelezo mengi ila kuna picha nimepiga kwenye barabara ya kwenda Malamba hadi Kinyerezi machinga wanafunga njia ili watu wapite barabarani na kuhatarisha maisha yao.