DOKEZO Wahusika wa ujenzi wa barabara ya Mabwepande - Bunju B wajibikeni kwa aibu hii

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Mnasihi

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
8,385
Reaction score
7,929
Salaam wadau na wapendamaendeleo.

Wahusika wafuatao wawajibike au kushtakiwa kwa kuhujumu ujenzi wa barabara ya kutoka Bunju B kwenda Mabwepande kwa aina ya ujenzi huu.

Hawa ni; mkandarasi, mjenzi, mshauri, mkurugenzi wa manispaa, meya,diwani, mbunge na waziri wa ujenzi.

Barabara haina mtaro hata mmoja na wanaikwangua bila kuongeza kifusi chochote.

Wananchi wanaopita barabara hiyo iliyojaa vumbi ni wagonjwa wa tb watarajiwa.

Takukuru hebu mulikeni huu mradi unaotia aibu Dar yote.

Mgeni mimi nashangaa kwani hata huko nitokako ujenzi wa barabara ni wa kiwango kizuri tu kulinganisha na huku kwenu mabwepande.

Hebu waokoeni basi watoto wadogo ambao wanaathirika na vumbi hilo la masaa 24/7 angalau kwa kumwagia maji.

Songoro unafeli sana siku hizi.
 
Salaam wadau na wapendq maendeleo.
Wahusika wafuatao wawajibike au kushtakiwa kwa kuhujumu ujenzi wa barabara ya kutoka bunju b kwenda mabwepande kwa aina ya ujenzi huu. Hawa ni; mkandarasi, mjenzi, mshauri, mkurugenzi wa manispaa, meya,diwani, mbunge na waziri wa ujenzi.
Barabara haina mtaro hata mmoja na wanaikwangua bila kuongeza kifusi chochote.
Wananchi wanaopita barabara hiyo iliyojaa vumbi ni wagonjwa wa tb watarajiwa.
Takukuru hebu mulikeni huu mradi unaotia aibu dar yote.
Mgeni mimi nashangaa kwani hata huko nitokako ujenzi wa barabara ni wa kiwango kizuri tu kulinganisha na huku kwenu mabwepande.
Hebu waokoeni basi watoto wadogo ambao wanaathirika na vumbi hilo la masaa 24/7 angalau kwa kumwagia maji!
Songoro unafeli sana siku hizi.
Barabara za vumbi mara nyingi huchongwa ili ziwe zinamwaga maji pembeni (camber) kisha maji hayo hutililika kuelekea kwenye mifereji ambayo huyaondoa ili yasituame barabarani na kuyafanya yaharibu barabara (mitre drains) kutegemana na ukubwa wa bajeti kwingine kwenye maji mengi hulazimika kuweka mitaro ya zege/mawe hasa sehemu zenye miinuko na mitelemko. Sasa, ingawa sio msemaji ila kwa maoni yangu ndio hivyo pengine kuna mradi mkubwa wa kuijenga nilisikia kutokea Mbezi/Makabe.​
 
Hakuna cha mtaro wala mfereji kwenye barabara ya mabwepande na mvua zikinyesha maji yanatuama katikati ya barabara na kutengeza mahandaki na mabwawa.
Ndio maana nimeiamsha takukuru ifanye ziara kwenye barabara hii na kuchukua hatua kwa wahusika wote kwani engineer mhusika anaichafua fani ya ujenzi na kuifanya ibagazwe!
Meya Songoro naufahamu utendaji wako, hebu shughulikia kero hii haraka kwani inakuchafua.
 
Hiyo barabara ilikua mbaya asee....

Wanajenga kwa kiwango cha lami? Au wanakwangua tu na kuweka changarawe?
Hawajaongeza chochote zaidi ya kuikwangua na kupitisha kishindilio chao kwa dk. 40 tu na kusepa.
Huu ni uhuni wa kiutendaji yaani!
Wameacha vumbi linatimka tu na wanaoishi maeneo hayo wanakohoa balaa na kila kitu kimejaa vumbi hadi ndani ya vyumba.
Mbunge mwenyewe amahama na familia yake na kutokomea mikocheni huku akiwaachia wapigakura wake kuoga vumbi kama kuku!
Mradi huu ama umejaa ufisadi na wizi na au unahujumiwa na wajenzi.
 
Hakuna cha mtaro wala mfereji kwenye barabara ya mabwepande na mvua zikinyesha maji yanatuama katikati ya barabara na kutengeza mahandaki na mabwawa.
Ndio maana nimeiamsha takukuru ifanye ziara kwenye barabara hii na kuchukua hatua kwa wahusika wote kwani engineer mhusika anaichafua fani ya ujenzi na kuifanya ibagazwe!
Meya Songoro naufahamu utendaji wako, hebu shughulikia kero hii haraka kwani inakuchafua.Sasa

Hakuna cha mtaro wala mfereji kwenye barabara ya mabwepande na mvua zikinyesha maji yanatuama katikati ya barabara na kutengeza mahandaki na mabwawa.
Ndio maana nimeiamsha takukuru ifanye ziara kwenye barabara hii na kuchukua hatua kwa wahusika wote kwani engineer mhusika anaichafua fani ya ujenzi na kuifanya ibagazwe!
Meya Songoro naufahamu utendaji wako, hebu shughulikia kero hii haraka kwani inakuchafua.
Sasa hapo shida kwa msimamizi/mkaguzi na mkandarasi kwanini maji yatuame katikati ya barabara? Lakini yawezekana pia kama nilivyosema awali maeneo mengine ni korofi pengine huhitaji matengenezo ya kipekee kama vile uwekaji wa culvets, ditch, rigged pavements nk. Sasa kulingana na ufinyu wa bajeti pengine ni marekebisho ya muda tu kwa maoni yangu tu lakini.​
 
Barabara ni ya vumbi. Huwezi kuja kukwangua vumbi bila kuongeza kifusi juu. Ile barabara ina mashimo balaa. Kilichohitajika ni kumwaga kifusi then kusambaza na kushindilia. Wao wamekwangua barabara ina maana wanaichimba zaidi kuelekea chini.

Hii ni kwa mjibu wa mtoa mada.
 
nilipita juzi kutoka bunju kuelekea mbezi aisee hali ni mbaya sana vumbi linatimka mda wote kwaiyo ni mwendo wa kulioga nafuu uwe ndani ya gari na umefunga vioo vyote
 
Vipi kuna mpango wowote wa kuunganisha Kwa lami kutoka bunju B Hadi mpiji majohe
 
Ili taifa kila sehemu ni upigaji. Awamu hii imejaa mijizi n walafi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Salaam wadau na wapendamaendeleo.

Wahusika wafuatao wawajibike au kushtakiwa kwa kuhujumu ujenzi wa barabara ya kutoka Bunju B kwenda Mabwepande kwa aina ya ujenzi huu.

Hawa ni; mkandarasi, mjenzi, mshauri, mkurugenzi wa manispaa, meya,diwani, mbunge na waziri wa ujenzi.

Barabara haina mtaro hata mmoja na wanaikwangua bila kuongeza kifusi chochote.

Wananchi wanaopita barabara hiyo iliyojaa vumbi ni wagonjwa wa tb watarajiwa.

Takukuru hebu mulikeni huu mradi unaotia aibu Dar yote.

Mgeni mimi nashangaa kwani hata huko nitokako ujenzi wa barabara ni wa kiwango kizuri tu kulinganisha na huku kwenu mabwepande.

Hebu waokoeni basi watoto wadogo ambao wanaathirika na vumbi hilo la masaa 24/7 angalau kwa kumwagia maji.

Songoro unafeli sana siku hizi.
Hiyo barabara bado ina vumbi? mbona enzi za Magufuli ilikuwa ishatengewa fedha kwa ujenzi wa lami ,hiyo na ile ya kibaha kwenda baobab? Kama zote hizo bado zina vumbi ni hatari.
 
Barabara ni ya vumbi. Huwezi kuja kukwangua vumbi bila kuongeza kifusi juu. Ile barabara ina mashimo balaa. Kilichohitajika ni kumwaga kifusi then kusambaza na kushindilia. Wao wamekwangua barabara ina maana wanaichimba zaidi kuelekea chini.

Hii ni kwa mjibu wa mtoa mada.
Ndicho walichofanya. Catapiller moja na kishindilio kimoja bila kumwaga kifusi wala maji. Na wameenda juu mara mbili tena kwa speed na hawakukaa zaidi ya dk.40.
Huyo mkandarasi akafanyie ujinga huu huko shamba ila kwa mjini afanye kitaalamu vinginevyo nimwalikie Madelu.
 
Hiyo barabara bado ina vumbi? mbona enzi za Magufuli ilikuwa ishatengewa fedha kwa ujenzi wa lami ,hiyo na ile ya kibaha kwenda baobab? Kama zote hizo bado zina vumbi ni hatari.
Vumbi la hatari kwa maisha ya viumbehai.
 
Inashangaza sana, barabara muhimu kama ya Mbezi luis to Bunju B via (mpiji magohe & mwabwepande) mpaka leo bado imeachwa vile vile, ni 25kilometers tuu, kumbuka kama hii barabara ingekua ishakamilika pasingekua na ulazima wa Gari za mikoa ya kaskazini zinazotokea stand ya magufuli kupita hii njia ya Goba,.zinazunguka sana
 
Alafu haipo kwenye mpango wa serikali Kwa mwaka huu kwenye budget 2026-27.
 
Back
Top Bottom