DOKEZO Wahusika wa ujenzi wa barabara ya Mabwepande - Bunju B wajibikeni kwa aibu hii

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Poleni. Nasema poleni kwa sababu mnaonekana hata tatizo halisi hamjui liko wapi. Ngedere wameingia shambani kwako unajaribu kulalamikia nyani wakusaidie?
 
25Km?? hapo Abdul akiuza Buggati zake 2 na Brabus 2 inamaliza hiyo barabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…