Hatari hii ..hawa ndo Nyerere aliwaita wagiriki hawa.
nawaroga
Hawa jamaa ni wa kurogwa aisee..!!
Kuna Afsa Wa TRA yupo tawi la mwenge anaitwa MHINA yeye kawakamara Wachina wote wanaomiliki viwanda na biashara kubwa huwasaidia kufanya Magumashi amekuwa Tajiri kuliko huyo Habibu wanayemtangaza sana.
Mwingine MASAMAKI wa tra aliesimamishwa kazi juzi,, huyo hapo pugu ana nyumba zaidi ya 100.. Kwenye nyumba tatu moja ni ya masamaki