minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,510
- 22,529
Usinunue uchawi, njoo huku, ni bure!
Watumishi wengi wa TRA sasa wapo kwa Sangoma uchawi wako hautawashika bali wao ndiyo watakuroga.
Usinunue uchawi, njoo huku, ni bure!
Mafisadi wa CCM
Jamaa ni very intelligent anapiga picha na kuzihifadhi ali atumie kwa wakati wake
![]()
![]()
![]()
![]()
Huyu "Mohamed" ndo unamwita? ni lumpen tu huyu,hana loloteNgoja nimuite Ritz atwambie kama anawajua hawa..
Mwakyembe alivuruga sana bandari kwa kuajiri kabla yake na ndugu zake bandani, vitengo vyote vyeti aliwaweka rafiki zake huku akipiga 10% kwa kila mladi.
Kuna wakuda walikuwa wanataka Mwakyembe awe waziri mkuu, ha haaaa Magufuli noma sana anajua kila jiwe
Habibu Mponezya 1997-2015 ni miongoni mwa mabilionea Tanzania?.Hapana huyu lazima atakuwa na hela za Watanzania.
Kuna Afsa Wa TRA yupo tawi la mwenge anaitwa MHINA yeye kawakamara Wachina wote wanaomiliki viwanda na biashara kubwa huwasaidia kufanya Magumashi amekuwa Tajiri kuliko huyo Habibu wanayemtangaza sana.
ndi maana sisi kina gogo la shamba tunasema kama Makufuli atatumia haki katika utendaji wake hakuna kiongozi wa serikali ya ccm atapona na ndio kilikuwa kilio cha wapinzani, Makufuli atapata tabu pale wabunge wa ccm watakapokuwa wanawatetea wenzao bungeni. maana wabunge na wanachama wengi wa ccm wao walikuwa wanajua Makufuli ni tingatinga kwa kuwaonea na kuwadhibiti wapinzani tu, waliisahau kwamba wao ndio watakaoisoma namba kwa kuwa wengi wao ndio mafisadi waliotufikisha hapa tulipo