Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

Status
Not open for further replies.
Nia na maandalizi ya kukandamizana imeanza....... !! ( Azimio la Arusha part 2 ) !!
 
Ritz na Dada yake FaizaFoxy kwa sasa JF sio sehemu rafiki kwao.siku hizi wanaingia kiwizi wizi kuja kuchungulia tu na kusepa.

halafu imani yao ya dini hairuhusu kumsifia magufuli.wamegeuka kuwa wapinzani kwa kutumia ID mpya.


kwiiiiii kwiiiiiiii kwii
hawa people bhuana! hasa huyu FaizaFoxy zile sifa kwa jk hakuna tena toka pombe aanze kutumbua majipu ya jk amebadilisha ID .
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu na January na akina Nape walipiga billion 1.7 wakati kampeni ikiendelea mpaka Magufuli akapagawa ndipo Serikali ya china ikaokoa jahazi kwa kumwaga mapesa mengi lakini na yenyewe pia waliyapiga na sasa wanateuliwa kuwa mawaziri ili kulipa fadhila.
Ndiyo maana alikimbilia bbc kuwa mahakama ya mafisadi haitakuwepo watu walimuelewa vibaya mgombea...!
 
Yani watu mishahara ya kawaida ila wanaendesha vogue, kilimo kwanza, tuareg etc etc etc.. Manina uncle Magu rudisha heshima mjini hizi hela zikawahudumie watanzania wote
 
Ritz na Dada yake FaizaFoxy kwa sasa JF sio sehemu rafiki kwao.siku hizi wanaingia kiwizi wizi kuja kuchungulia tu na kusepa.

halafu imani yao ya dini hairuhusu kumsifia magufuli.wamegeuka kuwa wapinzani kwa kutumia ID mpya.

kadoda 11 acha uchokozi.
 
Last edited by a moderator:
TIC, TANESCO,JNIA, NMB,MALI ASILI, MAHAKAMA KUU.....!! Wizi mtupu...tatizo la wezi wa kibongo wanatuibia afu wanatudhalau,.ona wahindi walivyonadharau ...wanapokuajuri...watu wengi wanaendesha magar makari kwa gharama zetu...unapishana na mke yuko kwenye vx/8. anakuangalia utadhani kinyago kumbe kanunuliwa na kibaka...wa kodi,dili...sasa tutaeshmiana mitaani, yale magar unakutaka plate namba imeandikwa jina la mtu yataisha..demu kukutana nao maofisn nyodo zitaisha..hapa tz Wanawake ndo wanaongoza kubebwa...ila ndo wanaongoza dhalau maifisni utadhani hicho kiti ni halali yake...SIR.maguli KOMAA nao hao MAJIZI.

Indians are too smart they pay taxes ila watapata faida toka kwetu zaidi. Popote utapokwenda iwe Africa ulaya na hata America uliza mhindi unalipa kodi atakwambia usicheze na serikali.
 
Mwigulu na January na akina Nape walipiga billion 1.7 wakati kampeni ikiendelea mpaka Magufuli akapagawa ndipo Serikali ya china ikaokoa jahazi kwa kumwaga mapesa mengi lakini na yenyewe pia waliyapiga na sasa wanateuliwa kuwa mawaziri ili kulipa fadhila.

Magufuli baba anza ccm ndio mafisadi nyangumi pigs kazi usione aibu tupo nyuma yako mijizi wengi kamata manyangumi wrote wapo ccm
 
Dr Magufuli atafata sera ya Kichina ya Communist Party, inayosema, "Ukiifumbia macho saana rushwa inauwa serikali, lakini ukiipiga vita saana rushwa unakiuwa Chama."
 
ningependa huu upepo upulizwe mpaka Kahama yaan kuna vigogo hawalip kodi kabisa miaka nenda rudi, yaan ukiona Afisa TRA ameingia kwake anaenda kusalimia na si vinginevyo, ss huku chini akiingia anakuja kukufungia tu.
 
Mm napendekeza tupitishe sheria fisadi akithibitika apigwe shaba hadi kufa hadharani.
 
acha ukabila ww. Kama wamesoma kwann wasiajiliwe? Ww ulitaka waajiri wamang'ati na wamasai wakat kichwan hamnazo kama lowasa

Kwa hiyo wanyakyusa ndio wamesoma peke yao? Nenda pale bandarini salamu za asubuhi ni kinyakyusa " ugonile, Ndaga" ,hata yale majizi ya tra yaliyokamatwa na waziri mkuu karibu yote ni wanyakyusa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom