Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

Status
Not open for further replies.
Jamaa ni very intelligent anapiga picha na kuzihifadhi ali atumie kwa wakati wake
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php

Mayooo, jamani atakamatika kweli huyu mwarabu, mbona ana mizizi mirefu!!?
 
Dr Magufuli atafata sera ya Kichina ya Communist Party, inayosema, "Ukiifumbia macho saana rushwa inauwa serikali, lakini ukiipiga vita saana rushwa unakiuwa Chama."

Sasa hapa Magufuli afanye nini? Mshauri afanye nini?
 
Wote wanaoonekana katika picha au?
 
Nadhani hata sheria ya mishahara na posho za tra ziangaliwe upya.
Wao ni watumishi wa serikali ipi mpk walipwe zaid ya wengine.
Magu jenga heshima hapo
 
Kikwete amempa Magu nchi kwa shingo upande.Hili jipu likitumbuliwa litauma mpaka msoga
 
Kuna watu JPM amewapunguzia majukumu hapa JF,nayo ni kuwarekebisha watu wanapokosea spelling tu!

Usituchekeshe, mmojawapo alianzisha thread ya JPM sasa hivi yuko kimya, kweli hii zama balaa no more selfies
 
Kuna kila sababu watu wa usalama wa Taifa kupiga kambi hapa JF maana hapa kuna vyanzo vingi sana vya kuanzia,
That is absolutely true.
More than 80% ya watakaoburuzwa kwenye mahakama za ufisadi watakuwa ni makada wakubwa sana wa CCM na watakuwa wameibuliwa na whistle blowers wa JF.
 
Hii nchi imeoza kweli kweli sijui kama Dr.jpm ataweza kuisafisha uozo wake kila kona inanuka wizi wizi.
huu wizi ulianzia 1986 mpaka 2015 wangapi wamefaidika?
 
Nasubiria afike na TANAPA huko ndo kunaliwa hela ya kufa mtu,kuna viongoz wamejenga vijiji na wamepangishia wazungu
 
Ukitoa huyo jamaa mwarabu, ktk hizo picha ni nini ndigu zangu mmeona na kukielewa cha ajabu ambacho mimi sijakielewa?? Ebu nisaidieni labda nimeshindwa ku konnect the dots! Labda kuna issue zaidi nyuma ya pazia, maana kwangu zinaonekana ni picha tu za kawaida ila wachangiaji naona mnajua zaidi! Mwenye kujua tafadhari!
 
Kuna habari niliwahi kuzisikia kipindi cha nyuma na sasa naanza kuzisikia tena humu. Je, ni kweli Mhina ni bilionea? Na je, ni kweli ubilionea umetokana na mshahara wake?
 
Huyu jamaa ni kati ya maafisa wa tra waliotumia ofisi kujitajirisha badala ya kukusanya kodi
 
Kama kuna Mali zozote za hao mafisadi zinatiliwa shaka uchunguzi ufanyike, ikionekana ni Mali haramu ni kuwafilisi Na kuwafungulia mashtaka. Wengine wakiachishwa kazi bila kuchukuliwa hatua za kisheria ndo wanakwenda kufaidi jasho la watanzania kiulainiiii
 
Kuna habari niliwahi kuzisikia kipindi cha nyuma na sasa naanza kuzisikia tena humu. Je, ni kweli Mhina ni bilionea? Na je, ni kweli ubilionea umetokana na mshahara wake?

mkuu tulia uandike kitu cha kueleweka. wengine hatumjui huyo mgosi
 
Magufuli anajua kuwa Mwakyembe ni mwizi mkubwa anajua kuwa alipiga Mabilioni ya ukarabati wa Reli ya kati na Reli ya Treni ya jijini al-maarufu Treni ya Mwakyembe, ununuzi wa mabehewa Feki, miladi yote bandarini alichukua 10% Mwakyembe ni mwizi kuliko Waziri yeyote amepata kutokea Tanzania lakini kilichomlinda ni mbinu zake za Unafiki, fitna, majungu na kuwatoa wengine kafara pindi akipiga Dili. Sasa Magufuli anamlinda kwa sababu alisaidia kampeni kwa kumlubuni na kumfundisha DR Slaa mbinu za kuwahujumu na kuwadhoofisha Ukawa.
HAIWEZEKANI HATA SIKU MOJA TEAMLOWASSA AKAMFAGILIA AU KUMPENDA DR. MWAKYEMBE, huyu MZALENDO kasababisha damage kubwa sana iliyogharimu watu urais na ahadi za ukuu wa vitengo kwa baadhi ya watu.
Sitegemei APENDWE NA TEAMLOWASSA AU WANA UKAWA WENGI, kama inavyojionyesha ktk comments humu!

Mwakyembe ataendelea kuwa jembe! Na nyumbu wataendelea kuwa nyumbu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom