Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

Status
Not open for further replies.
Kuna afasa TRA yupo tawi la mwege anaitwa MHINA ana nyumba kibao Dodoma zikiwemo Hotel, Tanga na Dsm ana nyumba Utitiri hao wanaowatangaza ni cha mtoto hawana mali, sasa hivi Mhina kakimbilia kijijini kwao Tanga kufanya manuva yupo busy kwa Sangoma akituliza upepo wa Magufuli.
Lakini ni jambo la kushangaza kuona watu wanataka kuaminishwa kwamba vyombo vya dola kipindi cha serikali iliyopita hawakuona matatizo hayo.Mimi ninachoamini na kukiona hapa ni kwamba wanufaika katika kadhia hii hawakuwa hawa tunaotajiwa tu.Hii itakuwa ilikuwa ni syndicate na bahati mbaya hawa walikuwa mstaei wa mbele.kama nia ni kukomesha vitendo hivi basi uchunguzi wa kina kuwabaini na wengine unapaswa kufanyika.Kingine ni kuangalia jinsi nafasi kama hizo zinavyotolewa kwa wafanyakazi husika kwa maana ya kuangalia historia zao ni watoto wa akina nani ndani ya nchi hii nk.
 
Wote wanaokwepa Kodi wafilisiwe, ili iwe mfano, sheria za kuwafilisi zipo sasa zianze kutumika kikamilifu
 
Aaahhh wapi wahindi wengi hawalipi kodi na sisi tunao wafahamu tunaanza kuwafatilia. Kwenye maduka wanamashine za EFD lkn receipts hadi udai km vile siyo hali yako. Mashine wanaweka km mapambo tu. Afu wana leta dharau za kijinga kujiona ni bora zaidi

Nimekuelewa vizuri, hiyo ni system tumeweka wenyewe ila tutegemee mengi.
Hizo EFD ziboreshwe sio zinakufa kila baada ya siku mbili
 
Cdhan walionufaika na kupiga dili watachangia humu jf,kuna watu walitetea sana hiz dili kila zipoibuliwa humu jf,waliikingia kifua serikal ya jk,kwa sababu walizoea kwenda ikulu kupiga dili na jk na kupiga picha za self.
 
Duh Dr. John Joseph Pombe Magufuli amekuwa gumbo tomato Sirari hadi Newala. Hivi kwa kasi hii kuna mtu atapona?
 
Ule wimbo wa utaisoma namba siuskii tena pale tbc na star tv,ccm imejaa wapiga dili,kuanzia urais,mawazir,wabunge
 
Mkuu hata ng'ombe na mbuzi 500 wkt hawa ni viumbe wanaozaliana ??? Hebu tuwe serious jamani
 
unaweza kukuta mshahara wake ni 8m kwa mwezi, huyu mtu anaweza kukopa 200m bank. akinunua pori la eka 300@200,000 atatumia 60,000,000! mbuzi 500 wanaweza kupatikana kwa mbuzi 250 kuzaa mara moja tu kwa mwaka 1. mbuzi 250@30,000 ni sawa na sh 7,500,000! huyu mtu naomba tusimwonee kwan anaweza kuwa na hvyo vitu kwa chini ya m100

Una uhakika alikopa hicho kiasi na kufanya hayo unayoyafikiri hadi ushauri asionewe? Kwanini asichunguzwe kwanza na vyombo vya dola hili ukweli wa ukwasi wake ujulikane?
 
Aaahhh wapi wahindi wengi hawalipi kodi na sisi tunao wafahamu tunaanza kuwafatilia. Kwenye maduka wanamashine za EFD lkn receipts hadi udai km vile siyo hali yako. Mashine wanaweka km mapambo tu. Afu wana leta dharau za kijinga kujiona ni bora zaidi

Mkuu ni kweli nashauri waangalie na mishahara wanaolipwa wafanyakazi kwenye biaashara za wahindi. Mtu analipwa mshahara wa milioni mbili lakini salary slip inaonyesha laki 250 ili kodi islipwe
 
tunasamehe hao jamaa tunakomaa na nyasi bandia za uwanja wa kaitaba pumbavu
 
Kuna habari niliwahi kuzisikia kipindi cha nyuma na sasa naanza kuzisikia tena humu. Je, ni kweli Mhina ni bilionea? Na je, ni kweli ubilionea umetokana na mshahara wake?

Nilitegemea ni habari inayojitosheleza, kumbe na wewe unauliza swali?
Basi subiri wakujibu wanaojua.
 
meneja wa tra temeke anamiliki ekari 300,ngombe na mbuzi 500 huko mkuranga
Ndogo sana hizo kwa hadhi yake kulinganisha na lowassa mwenye ng'ombe 3000.meneja ongeza uwekezaji .watu wazidi kupata kazi
Eka 300 ni milioni 30 tu huko porini.ng'ombe na mbuzi 10 baada miaka mitano wanafika 500
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom