Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

Status
Not open for further replies.
nchi hii mabilionea wapo kibao, nasikia le mutuz naye ni bilionea tunaomba acgunguzwe!

Tehe tehe..
Mkuu umekosea, Le Mutuz System a.k.a Le Bilinganyaz System yeye ni baharia siyo bilionea.
 
HAIWEZEKANI HATA SIKU MOJA TEAMLOWASSA AKAMFAGILIA AU KUMPENDA DR. MWAKYEMBE, huyu MZALENDO kasababisha damage kubwa sana iliyogharimu watu urais na ahadi za ukuu wa vitengo kwa baadhi ya watu.
Sitegemei APENDWE NA TEAMLOWASSA AU WANA UKAWA WENGI, kama inavyojionyesha ktk comments humu!

Mwakyembe ataendelea kuwa jembe! Na nyumbu wataendelea kuwa nyumbu!

jamani kwenye maswala ya kitaifa haya mambo ya itikadi za kisiasa hayatusaidii. uchafu ni uchafu tu na hauna siasa ndani yake.
mkuu umesahau Mwakyembe alivyomleta yule Mmarekani Shumake kwa ajili ya treni ya Airport ti city center? unakumbuka zile mbwembwe za kwenye press conference juu ya huyo jamaa kuwa yuko tayari kuanza kazi next day. ushajiuliza ule mradi uliishia wapi wakati walishasaini MoU?

Shumake alikuwa tapeli tu hata huko kwao ana vimeo kibao.

hawa mawaziri ukiwapekua unaweza kushika kichwa kwa mshangao.
ila kwa vile binadamu hubadilika kutokana na nyakati basi bado ana nafasi ya kuwa mzalendo kama atapewa uwaziri this time.
 
HAIWEZEKANI HATA SIKU MOJA TEAMLOWASSA AKAMFAGILIA AU KUMPENDA DR. MWAKYEMBE, huyu MZALENDO kasababisha damage kubwa sana iliyogharimu watu urais na ahadi za ukuu wa vitengo kwa baadhi ya watu.
Sitegemei APENDWE NA TEAMLOWASSA AU WANA UKAWA WENGI, kama inavyojionyesha ktk comments humu!

Mwakyembe ataendelea kuwa jembe! Na nyumbu wataendelea kuwa nyumbu!

Ni jembe la mabehewa feki ya trl
 
nchi hii mabilionea wapo kibao, nasikia le mutuz naye ni bilionea tunaomba acgunguzwe!

Lemutuz sio billionaire kabisaaa.. Njaa sana yule jama yapokuwa amehustle sanaa kwanzia ubahariaa mpaka leo hii anakipindi chake.
 
Hatari,hatar,hatar,nchi yawapiga dili hii,mwigulu nchemba,saada mkuya,hamkuyajua haya?kuna mbunge mmoja kama sio mnyika bas ni mch.msigwa,aliwah kusema tumefika hapa kutokana na udhaifu wa jk,uzembe wa mawazir na wabunge wa ccm,enyi wabunge wa ccm muogopen Mungu,enyi mawazir wa jk,muogopen Mungu,ewe jk muogope Mungu,umepiga dili za kutosha oneni unavyoumbuliwa sasa na mtu asiye na mtandao
 
meneja wa tra temeke anamiliki ekari 300,ngombe na mbuzi 500 huko mkuranga
unaweza kukuta mshahara wake ni 8m kwa mwezi, huyu mtu anaweza kukopa 200m bank. akinunua pori la eka 300@200,000 atatumia 60,000,000! mbuzi 500 wanaweza kupatikana kwa mbuzi 250 kuzaa mara moja tu kwa mwaka 1. mbuzi 250@30,000 ni sawa na sh 7,500,000! huyu mtu naomba tusimwonee kwan anaweza kuwa na hvyo vitu kwa chini ya m100
 
Mimi hiyu bwana Simjui ila kuna afisa wa tea kwenye Land cruiser nyeusi huwa anadeal na wachina wanaouza vioo vya nagari Sinza mapambano na kila week anaendaga kuchukua mgao pale kwa wachina. TRA na TISS, takukuru chunguzeni na ongeeni vizuri na vijana waliopo getini kwa wachina watawapa useful information
 
Hii serikali ya ccm ilishaoza kumbe? Halafu huyu Mwakyembe asiyetakiwa kabisa hapa Kyela alilazimisha ushindi kwa kuiba kura,ni mwizi mkubwa wa kisirisiri.

Ijubha , itata ! mwee bhandu umwe muli bhabhibhi fijo !
 
Sasa hapa Magufuli afanye nini? Mshauri afanye nini?

Nina imani siko katika position ya kumshauri hasa katika JF na akanisikia. Kuna wanaolipwa mamilioni kutoka serikalini kwa kqzi hiyo lakini wanamalizikia kujipendekeza tu na wanauwacha ukweli.

Nashukuru labda alisoma mchango wangu mmoja humu siku tano kabla ya kuamua kufuta kilele cha sherehe za Uhuru. Niliandika kuhusu umuhimu wa kufuta sherehe hizi na nyenginezo kuokoa pesa kutumika excessively. Hicho ndicho kilikuwa kilio changu kwa maisha muda mrefu.
 
Indians are too smart they pay taxes ila watapata faida toka kwetu zaidi. Popote utapokwenda iwe Africa ulaya na hata America uliza mhindi unalipa kodi atakwambia usicheze na serikali.

Aaahhh wapi wahindi wengi hawalipi kodi na sisi tunao wafahamu tunaanza kuwafatilia. Kwenye maduka wanamashine za EFD lkn receipts hadi udai km vile siyo hali yako. Mashine wanaweka km mapambo tu. Afu wana leta dharau za kijinga kujiona ni bora zaidi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom