Kuna kila sababu watu wa usalama wa Taifa kupiga kambi hapa JF maana hapa kuna vyanzo vingi sana vya kuanzia,
Kuna kila sababu watu wa usalama wa Taifa kupiga kambi hapa JF maana hapa kuna vyanzo vingi sana vya kuanzia,
Huyo Afisa wa TRA Mwenge mr Gaspar Martin Mhina ana mtandao mkubwa mpaka huko wengi ni rafiki zake pia Wachina nao wanamlinda kwa gharama zozote hakuna wa kuthubutu kumgusa.
Sloppy zitapungua zitahamia sekta binafsiTIC, TANESCO,JNIA, NMB,MALI ASILI, MAHAKAMA KUU.....!! Wizi mtupu...tatizo la wezi wa kibongo wanatuibia afu wanatudhalau,.ona wahindi walivyonadharau ...wanapokuajuri...watu wengi wanaendesha magar makari kwa gharama zetu...unapishana na mke yuko kwenye vx/8. anakuangalia utadhani kinyago kumbe kanunuliwa na kibaka...wa kodi,dili...sasa tutaeshmiana mitaani, yale magar unakutaka plate namba imeandikwa jina la mtu yataisha..demu kukutana nao maofisn nyodo zitaisha..hapa tz Wanawake ndo wanaongoza kubebwa...ila ndo wanaongoza dhalau maifisni utadhani hicho kiti ni halali yake...SIR.maguli KOMAA nao hao MAJIZI.
Nadhani waliwajibishwa wako juu yake, basi Hata yeye sasa aanze kubadili umiliki wa Mali zake, maana lazima afilisiwe tu
Hii serikali ya ccm ilishaoza kumbe? Halafu huyu Mwakyembe asiyetakiwa kabisa hapa Kyela alilazimisha ushindi kwa kuiba kura,ni mwizi mkubwa wa kisirisiri.