Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Wafanyakazi wa mashirika ya misaada ya Marekani na Uiengereza wamepewa siku 30 za matayarisho ya kuondoka nchini Yemen kwenye maeneo yanayodhibitiwa na wanajeshi wa Houth.
Amri hiyo imetolewa baada ya meli za kivita za nchi hizo kufanya mashambulio kwenye maeneo ya Yemen kwa mara ya nane hapo juzi.
Katika barua inayoelekeza amri hiyo ambayo nakala yake imeshuhudiwa na Skynews,mashirika yote ya misaada hayatakiwi kuwaajiri hatu watu wenye uraia pacha na nchi hizo.
Katika enzi hizi Yemen inaweza kuwa ni nchi ya mwanzo ya kiarabu kutoa amri ya kuwafukuza raia wa nchi hizo mbili ambazo kwa ujumla zimekuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za ndani na nje ya nchi hizo .

Houthis give British aid workers 30 days to leave Yemen