Waiengereza na wamarekani wapewa siku 30 wawe wameondoka Yemen

Waiengereza na wamarekani wapewa siku 30 wawe wameondoka Yemen

ulikua umbo tumboni wala c chochote wala hukua na hiko kibur ukazaliwa ukawa unajinyea na hukuwa hata na uwezo wa kujizuia kinyesi kisitoke huku ukiwa hujui chochote Ila leo umekua umeshasahau yote unajiona Kama uliumbwa na umli wako huo ulioh!kua nao na maalifa hayo mpaka unadiliki kusema hivi kwel Kama huyu mungu yupo , afya inakudanganya ngoja uumwe japo UTI tu wewe huyo huyo hutomtaja dokta wala kulia dokta bali utalia mungu wangu kizazi cha firauni we.
Daah! Nisamehe
 
Wacha kufru wewe.
Mpaka leo hii unakula na kushiba na hujajua kuwa Mungu yupo.
Usirudie tena maneno yako hayo.
Kwani Mungu alibeba torori la chakula akampelekea? Nyoe vipi!!! Si anashiba kwa jasho lake? Anahangaika,anapata hera anakula na kushiba. Hapo Mugu huyo anahusikaje?!

Hivi,kwa nini watu wengi mnataka wanzenu waamini mnachokiamini!! Kwamba nyie ndo mna imani za kweli!!!
 
Angalieni hii kenge nayo dah 😀
 
Back
Top Bottom