Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
usifananishe Houth na vitu vya kipuuz we , hao chadema kila kitu wanawategemea mabwana zao wazungu unadhan hata wakiingia madarakan c itakua Kuna Kaz ya kulipa fadhira[emoji3578] Kwa sasa Houth ndio Yemen....
[emoji3578] Bado Chadema kuwa One Tz...
Daah! Nisameheulikua umbo tumboni wala c chochote wala hukua na hiko kibur ukazaliwa ukawa unajinyea na hukuwa hata na uwezo wa kujizuia kinyesi kisitoke huku ukiwa hujui chochote Ila leo umekua umeshasahau yote unajiona Kama uliumbwa na umli wako huo ulioh!kua nao na maalifa hayo mpaka unadiliki kusema hivi kwel Kama huyu mungu yupo , afya inakudanganya ngoja uumwe japo UTI tu wewe huyo huyo hutomtaja dokta wala kulia dokta bali utalia mungu wangu kizazi cha firauni we.
Kwani Mungu alibeba torori la chakula akampelekea? Nyoe vipi!!! Si anashiba kwa jasho lake? Anahangaika,anapata hera anakula na kushiba. Hapo Mugu huyo anahusikaje?!Wacha kufru wewe.
Mpaka leo hii unakula na kushiba na hujajua kuwa Mungu yupo.
Usirudie tena maneno yako hayo.
Angalieni hii kenge nayo dah 😀Kwani Mungu alibeba torori la chakula akampelekea? Nyoe vipi!!! Si anashiba kwa jasho lake? Anahangaika,anapata hera anakula na kushiba. Hapo Mugu huyo anahusikaje?!
Hivi,kwa nini watu wengi mnataka wanzenu waamini mnachokiamini!! Kwamba nyie ndo mna imani za kweli!!!
Poa tu,hata uongezee wa mwaloni. Ya iweje utuaminishe unachoamini wewe! Kwa ukweli upi? Ndo huyo mungu wako kakufundisha hivyo? KomaaAngalieni hii kenge nayo dah 😀