Mpe muda wake ili ajisikie amani alafu utaingia JF mpaka upachoke!!
Yaani nikiingia ktk thread tu huwa natafuta kuona umejibu au umeandika nini (Naona raha mwenzio kusoma post zako)
ndio mana nlikua nasikia harufu kumbe hii thread imeandikiwa chooni.
Mama watoto wangu ananibana sana, hataki kuniona niko busy na na simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili niingie JF ni lazima niingie toilet, maana kinyume na hapo ni ugomvi mkubwa, simu zinavunjwa na amani inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu yako.
Jiweke nafasi yake.Mama watoto wangu ananibana sana, hataki kuniona niko busy na na simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili niingie JF ni lazima niingie toilet, maana kinyume na hapo ni ugomvi mkubwa, simu zinavunjwa na amani inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu yako.
Hata mimi ningekuwa na wasiwasi mke wangu akiwa anacheza na simu muda wote,ukipata kazi nunua laptop siku hizi hata laki 4 unapata used nzuri tu na mpya zingine laki 6-7.Mama watoto wangu ananibana sana, hataki kuniona niko busy na na simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili niingie JF ni lazima niingie toilet, maana kinyume na hapo ni ugomvi mkubwa, simu zinavunjwa na amani inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu yako.
Dearest nimekumis hadi nimekonda.Mpe muda wake ili ajisikie amani alafu utaingia JF mpaka upachoke!!
Angalia mke wetu asione hii au utakosa zamu yako hahaha!Yaani nikiingia ktk thread tu huwa natafuta kuona umejibu au umeandika nini (Naona raha mwenzio kusoma post zako)
Mama watoto wangu ananibana sana, hataki kuniona niko busy na na simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili niingie JF ni lazima niingie toilet, maana kinyume na hapo ni ugomvi mkubwa, simu zinavunjwa na amani inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu yako.
c ww tu hata cc yametukuta,cha msingi ni kumwelewesha taratibu kuwa hakuna kibaya unachokifanya na ikiwezekana mwonyeshe.
Kwa sasa uko wapi?
ye yuko wapi?