Waif ananibana - Ati nichague JF au yeye

Waif ananibana - Ati nichague JF au yeye

Mpe muda wake ili ajisikie amani alafu utaingia JF mpaka upachoke!!

My dia
Huyu BjBj bana kaniacha hooooi
Eti anabofyea NEW POST chooni
Kanifanya mpaka nishindwe kumshauri kwa kicheko
:biggrin1:
 
Yaani nikiingia ktk thread tu huwa natafuta kuona umejibu au umeandika nini (Naona raha mwenzio kusoma post zako)

Usijali CPU...hio phase itapita.. Its because you are so in love with the idea of Asha D than Asha D herself... baada ya week tu utakuta mapenzi kuchinee....lol.
 
wanawake wengi wanapenda wakuone upo bize na yeye...mara umemuongelesha mara mnafanya kitu pamoja, usipokuwa makini hata marafiki utapoteza.
 
Mkuu inabidi huwe na muda na familia, bila hivyo kuna hatari ya uhusiano wako na wake kuwa hatarini.
 
Mama watoto wangu ananibana sana, hataki kuniona niko busy na na simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili niingie JF ni lazima niingie toilet, maana kinyume na hapo ni ugomvi mkubwa, simu zinavunjwa na amani inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu yako.

Mwongezee dozi kwa mtindo wa katerero atatulia:mimba:
 
Mm binafs namwunga mkono paster kwamba kuna mda wa jf na mda wa kuwa na familia.
 
sasa siumwambie na yeye ajiunge na jf mkuu...maana huo mtihani anaokupa ni mkubwa
 
Mama watoto wangu ananibana sana, hataki kuniona niko busy na na simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili niingie JF ni lazima niingie toilet, maana kinyume na hapo ni ugomvi mkubwa, simu zinavunjwa na amani inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu yako.
Jiweke nafasi yake.

Vipi na yeye akianza mtindo wa kwenda kushinda kwenye saloon?
 
hahahah! muonyeshe mimi wangu yuko super, hapa ameshakula ameshiba niko sebuleni nacheka na JF yeye kalala. Nimeshaingia kwenye JF nikamwabia asome thread zote alicheka mpaka basi. Akajua mimi siyo wa kukimbizana na watu ni POST zinaweza kukufanya uwe mchangamfu all the day.

Tuwe wakweli with evidences, ili ajue kwamba tunachangia mada zenye akili siyo kila siku tunaongea ujinga. Sasa unakosea wewe nunua Laptop akina simu hata mimi ningeshapigwa makofi.
 
kama anabana wewe kuingia jf-jaribu kumshauri nae ajiunge jf-akijiunga anaweza kujua mchakato mzima wa humu jf then anaweza kukaa kimya
 
Haya ndo matatizo ya watu wasiojiamini,huyo mama watoto wako hajiamini,na hilo ndo tatizo,mwambie ajiamini
 
mwenzio wa kwangu ana koroma tu hapa kando wakati mwenzie naendelea ku browse na yeye anaipenda sana jf ingawa hajajiunga mara nyingi namshirikisha sana kwenye kuisoma jf hana tatizo
 
wengi hapo juu wamekudanga au kutokuwa wawazi
tatizo ni dozi, unakosea dozi mkuu.
fata ushauri wangu yeye mwenye atakuletea simu uingie jf,
hacha uvivu kaka, utaibiwa hakuna kingine hapo, hizo ni ishara za kiutu uzima
 
Duuuuhhh
pole sana
Hata mi ningekasirika kama ingekuwa
hivyo.. punguza ma loveeeee daveee JF
mpe mama kitu roho inapenda..akiridhika
anaweza kukuachia ukaingia JF bila kuibia.. lol
goodluck..
 
Mama watoto wangu ananibana sana, hataki kuniona niko busy na na simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili niingie JF ni lazima niingie toilet, maana kinyume na hapo ni ugomvi mkubwa, simu zinavunjwa na amani inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu yako.
Hata mimi ningekuwa na wasiwasi mke wangu akiwa anacheza na simu muda wote,ukipata kazi nunua laptop siku hizi hata laki 4 unapata used nzuri tu na mpya zingine laki 6-7.

Mpe muda wake ili ajisikie amani alafu utaingia JF mpaka upachoke!!
Dearest nimekumis hadi nimekonda.

Yaani nikiingia ktk thread tu huwa natafuta kuona umejibu au umeandika nini (Naona raha mwenzio kusoma post zako)
Angalia mke wetu asione hii au utakosa zamu yako hahaha!
 
Mama watoto wangu ananibana sana, hataki kuniona niko busy na na simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili niingie JF ni lazima niingie toilet, maana kinyume na hapo ni ugomvi mkubwa, simu zinavunjwa na amani inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu yako.

Kila jambo likipita kiasi ni dhambi. Usiwe mtumwa wa kimoja, jaribu kubalance.
 
Back
Top Bottom