Waif ananibana - Ati nichague JF au yeye


du kumbe tuko wengi wa ivo ehhhhee
 
Mbona masharti rahisi. Mimi siruhusiwi hata kusoma novel kuanzia kwenye gari hadi home niwe napay full attention. Na naona normal tu, mambo yote nafanya ofisini iwe browsing au kusoma. Nikishika kitabu tu kujisomea tukiwa wote ananuna, anasema namchunia. Ndio mapenzi sometimes you have to give too much!
 
1.kabla hujamucha kwanza anzisha thread ya kutafuta mchumba.
2.hata ukiacha jf bado atakwambia acha na kile.
3.eeeh,bwana mtaka cha uvunguni sharti ainame,ikibidi tuagane.
 
Subiri wapatikane wakware wenye nafasi na mkeo, wakati wewe ukiangaika na kusoma sredi JF
 
Good sign kwamba anakujali na kukupenda
 

mbona huonekani mjomba?
 

Nikwambie kitu! Chagua JF!
 

kumbe tuko wengi
 
Mwenzangu mie inanichanganya kabisa kwani wa kwangu nilimpatia humuhumu ila ananiambia nichague moja Jf au yeye!
 
Ndoa ndoana, ukishikwa shikamana. Vipi wewe unataka kushikamana na JF? Hebu acha noma bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…