Waif ananibana - Ati nichague JF au yeye

Waif ananibana - Ati nichague JF au yeye

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Mama watoto wangu ananibana sana, hataki kuniona niko busy na na simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili niingie JF ni lazima niingie toilet, maana kinyume na hapo ni ugomvi mkubwa, simu zinavunjwa na amani inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu yako.
 
mkaribishe jamvini.
Kama hataki mtafutie mkuyati atakukimbia...
 
c ww tu hata cc yametukuta,cha msingi ni kumwelewesha taratibu kuwa hakuna kibaya unachokifanya na ikiwezekana mwonyeshe.
 
Buji sinaga nia mbaya ua kucheka... bahati mbaya saana Post zako makes my day... hua nafurahi saaaana. Sasa mmeishia wapi, hataki utumie kabisaaa au anakuruhu walau dakika 30
 
Mama watoto wangu ananibana sana, hataki kuniona niko busy na na simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili niingie JF ni lazima niingie toilet, maana kinyume na hapo ni ugomvi mkubwa, simu zinavunjwa na amani inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu yako.

mkuu ina maana mda wote uko nyumbani?acha porojo bana!

Kula mkongoraa wiki moja tu,piga kazi !walaahhi lazima akununulie laptop ya kuingilia jf.
 
Inaelekea unapokuwa JF hata akikuongelesha usikii wala huelewi, Vyema kuendelea kumwelewesha na hata ikibidi awe anaona unachofanya maana unaweza kukuta anahisiView attachment 30089 unachart na vimwana
 
Hahaaaaaaaaaaaa Bujibuji umenifanya nisahau majonzi yangu kwa muda usiku mwema bana msalimu na mama watoto.
 
Buji sinaga nia mbaya ua kucheka... bahati mbaya saana Post zako makes my day... hua nafurahi saaaana. Sasa mmeishia wapi, hataki utumie kabisaaa au anakuruhu walau dakika 30

Yaani nikiingia ktk thread tu huwa natafuta kuona umejibu au umeandika nini (Naona raha mwenzio kusoma post zako)
 
Back
Top Bottom