cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
Dada yangu kinachosababisha nipige kazi za nje ni tabia ya waifu wangu.
Yaani ni mtu wa kununa nuna tu, mara nyingi huwa ni mkali sana.
Nampenda sana lakini pia nahitaji 'peace of mind'.
Amekuwa tofauti na kipindi kile cha uchumba, yeye ndo kama baba mwenye nyumba.
Leo mi kazi yangu leo ni moja tu.....kamata hiyo!
The Following User Says Thank You to Baba_Enock For This Useful Post:
Asprin (Today)
sbb mie ni mkristo nakubali kuwa bible inasema kuwa mume ni kichwa.
lkn huo ukichwa wake unahusiana nini na kuisliti ndoa!!
yaani hata akisaliti ndoa atumie hii kujitetea noo way!
ingekua mie ndo mke wa ndibalema ningeweza "kumsamehe" baada ya kumfundisha adabu kidogo lkn akijitetea kwa maneno uliyotamka hapa nisingemsamehe!
...Ni shingo, ambayo inazungusha kichwa.....
dah dadangu umeongea ya ukweli
bt wantia hofu sasa apo penye red..kuolewa issue enh?mbona vilio daily jaman?
mi uyo nisingemfanya kitu ni kutafuta line ingne namimi mwendo mdudo kuanzia kwa shirima muuza duka mpak mpemba wa genge ili tu nipoze hasira...dah inakera
katika tukio km ilo 2b honest haina haja ya kugomba..sasa unagomba nin wakat km gemu washamaliza na ngome yao washaijenga?
ni kumchora tu..ahh baba cheap yako i...sjui akianza unajua...unajua mwambie tu plsss sjaomba clarification wala maelezo ya aina yote then unampiga flat...aftr whle mkalishe chn akwambie kwa kina on y n hw ameipeleka nje iyo mambo?najua hatakuwa na maelezo ya kukupa yaliyoshba zaid ya kujiuma uma
Dada yangu kinachosababisha nipige kazi za nje ni tabia ya waifu wangu.
Yaani ni mtu wa kununa nuna tu, mara nyingi huwa ni mkali sana.
Nampenda sana lakini pia nahitaji 'peace of mind'.
Amekuwa tofauti na kipindi kile cha uchumba, yeye ndo kama baba mwenye nyumba.
Dada yangu kinachosababisha nipige kazi za nje ni tabia ya waifu wangu.
Yaani ni mtu wa kununa nuna tu, mara nyingi huwa ni mkali sana.
Nampenda sana lakini pia nahitaji 'peace of mind'.
Amekuwa tofauti na kipindi kile cha uchumba, yeye ndo kama baba mwenye nyumba.
sbb mie ni mkristo nakubali kuwa bible inasema kuwa mume ni kichwa.
lkn huo ukichwa wake unahusiana nini na kuisliti ndoa!!!
Wanawake wengi wanatabia hii ya kubadilika pindi wakisha olewa.
Kipindi cha uchumba unaweza ukawa unaogeshwa na kupakwa mafuta lakini akisha izoea nyumba dah salaleeeeeee
Ndo maana wazee wanasema maisha ya uchumba ni matamu sana kuliko ya ndoa.

Na ndo maana mme anatongoza kisha anakuja kuonekana kwenu.
Fikiria ww ndo uende ukatoe posa kwa mwanaume inakuja kweli?
Kwa hiyo mme akiwa kama kichwa cha familia anao uhuru wa kumega kazi za nje atakavyo pindi anapo ona mke wake anaelemewa.
Msaada wenu wa mawazo please.
Juzi Nimerudi kutoka safari ya kikazi na kwa bahati mbaya wife ameibamba sim card yangu ya siri(ambayo yeye alikuwa haijui)
Kwenye hiyo laini kuna sms za hatari amezikuta ambazo mtu mzima nimeshindwa kabisa kujitetea kwani mambo ni hadharani.
Ikabidi nimwombe radhi wife na nikamwambia ni shetani tu.
Cha ajabu wife wangu ambaye ni mtata sana akanisamehe kirahisi sana bila kuleta songombingo.
Wakati sio kawaida yake kwani siku za nyuma kama akitilia shaka jambo hata kama si la kweli basi moto wake si wa kitoto.
Jamani hivi wife kanisamehe kikweli kweli au anapanga 'revenge' ambayo nitakiona cha moto?
Au na yeye yapo mabaya yake hivyo kaona ngoma ndroo haina haja ya kulianzisha?
Mwenzenu nina hofu kweli.

Mkurugenzi unazidi kunifurahisha.
sasa na nyie nanyi mmezidi, alikuwa wa blue kawa wa njano?...