cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
Dada yangu kinachosababisha nipige kazi za nje ni tabia ya waifu wangu.
Yaani ni mtu wa kununa nuna tu, mara nyingi huwa ni mkali sana.
Nampenda sana lakini pia nahitaji 'peace of mind'.
Amekuwa tofauti na kipindi kile cha uchumba, yeye ndo kama baba mwenye nyumba.
kutoka nje sio suluhisho la matatizo ya ndoa!