Egyps-women
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 497
- 107
Mwana jamii one bana!!
kusema kweli perfomance yake ilikuwa hot kama kawa ila mimi nilikuwa dorooo! Si unajua kiuoga uoga ile kitu inatakiwa kichwani usiwe na mawazo kabisa.
Sasa hapo ndipo ulipokosea best duh I wish ungetutonya mapema kabla hujapiga kazi mkuu. Yaani pale ulitakiwa ucheze kuliko pele (hivi wachezaji guru wa mpira kwa sas hivi ni kina nani tena? Kaizer atakutajia majina yao). Yaani unajikunja kiasi kwamba anahisi pengine hujawahigawa nje na zile sms ni za utani tu. Unamaliza mchezo lolMwana jamii one bana!!
kusema kweli perfomance yake ilikuwa hot kama kawa ila mimi nilikuwa dorooo! Si unajua kiuoga uoga ile kitu inatakiwa kichwani usiwe na mawazo kabisa.
....:A S 13::A S 13::A S 13::hand::hand:Ndugu yangu umeshaoa?
Kuishi na mwanamke ni chalenji kubwa sana ndugu yangu kwani wana mauzi hawa viumbe we acha tu.
Hio statement umenikumbukusha ofisi moja mdada fulani alikuwa ameolewa kila kukicha alikuwa anamuongelea mume wake na kumsifia jinsi alivyomuaminifu kwake kumbe wanawake wenzake wanamchora na kumcheka tu watu wanamchukulia mumewe kiulani tena hao hao wanawake anaofanya nao kazi ofisini
Msaada wenu wa mawazo please.
Juzi Nimerudi kutoka safari ya kikazi na kwa bahati mbaya wife ameibamba sim card yangu ya siri(ambayo yeye alikuwa haijui)
Kwenye hiyo laini kuna sms za hatari amezikuta ambazo mtu mzima nimeshindwa kabisa kujitetea kwani mambo ni hadharani.
Ikabidi nimwombe radhi wife na nikamwambia ni shetani tu.
Cha ajabu wife wangu ambaye ni mtata sana akanisamehe kirahisi sana bila kuleta songombingo.
Wakati sio kawaida yake kwani siku za nyuma kama akitilia shaka jambo hata kama si la kweli basi moto wake si wa kitoto.
Jamani hivi wife kanisamehe kikweli kweli au anapanga 'revenge' ambayo nitakiona cha moto?
Au na yeye yapo mabaya yake hivyo kaona ngoma ndroo haina haja ya kulianzisha?
Mwenzenu nina hofu kweli.
Fixed mammy you are right kabisa hiyo ilikuwa principle yangu mie until siku moja ambayo nilijikuta nashindwa kulala kwa kuwa roho flani (hata sijui ilitoka wapi) ilikuwa inaniambia leo angalia simu yake. Nilijikaza nisiisikilize roho ile nikapanda zangu kitandani na kujifanya ninasinzia yaani for more than 30 minutes nilisukumwa ndipo nikasema ngoja nikaichungulie (for the first time since our being together)........... nilijuta.sasa mkeo alikuwa anatafuta nini tena kwenye simu card iliyofichwa? wakati mwingine tunajitafutia ugonjwa wa moyo wenyewe. mi sitaki kabisa kugusa simu ya mtu, bado napenda kuishi bila ugonjwa wa moyo.................... amani tele, kwa raha zangu!
Ah jamani humu ndani ya nyumba kuna wazoefu balaa..... yaani hii imetoka mdomoni (mkononi) mwa mzoefu haswa!!! Nimecheka sana sipati picha dume zima limegoma kula siku mbili kisa? Toba.
Fixed mammy you are right kabisa hiyo ilikuwa principle yangu mie until siku moja ambayo nilijikuta nashindwa kulala kwa kuwa roho flani (hata sijui ilitoka wapi) ilikuwa inaniambia leo angalia simu yake. Nilijikaza nisiisikilize roho ile nikapanda zangu kitandani na kujifanya ninasinzia yaani for more than 30 minutes nilisukumwa ndipo nikasema ngoja nikaichungulie (for the first time since our being together)........... nilijuta.
too touching my dear... dont go in too deep rafikiMimi pia MJ1 sikuwahi kushika simu ya mzee hapo nyuma ,lakini siku nilipoishika nilijuta sana na nadhani ni roho wa mungu alinituma nilikumbana na maajabu ya dunia ..ilikuwa 4 years past
hawa wana mambo
too couching my dear... dont go in too deep rafiki
Fixed mammy you are right kabisa hiyo ilikuwa principle yangu mie until siku moja ambayo nilijikuta nashindwa kulala kwa kuwa roho flani (hata sijui ilitoka wapi) ilikuwa inaniambia leo angalia simu yake. Nilijikaza nisiisikilize roho ile nikapanda zangu kitandani na kujifanya ninasinzia yaani for more than 30 minutes nilisukumwa ndipo nikasema ngoja nikaichungulie (for the first time since our being together)........... nilijuta.
Mimi pia MJ1 sikuwahi kushika simu ya mzee hapo nyuma ,lakini siku nilipoishika nilijuta sana na nadhani ni roho wa mungu alinituma nilikumbana na maajabu ya dunia ..ilikuwa 4 years past
hawa wana mambo
Sawa kaka.Msirudie tena.....maisha sio magumu kiasi hicho...

true mkuu... life should be as simple as it can getMsirudie tena.....maisha sio magumu kiasi hicho...
Mimi yalikwishanikuta kama hayo na kilichotokea mpaka leo sitokuja kusahau kwani nilikuja gundua nae anatoka nje tena na rafiki yangu ambaye tulikuwa tunaaminiana sana,siku niliyowakuta live aliniambia kuwa nae anafanya kama nilivyofanya mimi hivyo nimsamehe kama yeye alivyonisamehe na tuendelee kuishi kama kawaida.
Ushauri:Chunga sana mienendo yake na jaribu kutulia maana si rahisi mtu kuchukuliwa chake na akasamehe kirahisi namna hiyo hasa kwa wanawake,mwoneshe unajutia kufanya vile na usijenge mazingira ya kumficha jambo kwake,kuwa wazi muda wote hata kwa jambo dogo na mwisho atakuamini na kusamehe kwa kujua sasa umebadilika na kuwa mtu safi kwake.

Jamani mbona kila mtu anashauri nimlinde 'Ndibalema' orijino?
huyo ni mpuuzi wa mwisho... kwani ana maisha ya visasi!!! na rafiki yako nae feki... a true friend asingefanya hivyo
Je wewe ungemkuta, ungeenda kupiga rafiki yake? kama ndiyo, basi na wewe ungekua na matatizo