Waifu kanisamehe kikweli kweli au?

Waifu kanisamehe kikweli kweli au?

Mwana jamii one bana!!
kusema kweli perfomance yake ilikuwa hot kama kawa ila mimi nilikuwa dorooo! Si unajua kiuoga uoga ile kitu inatakiwa kichwani usiwe na mawazo kabisa.

hnimecheka jamani hahaha utaijua jeuri yako
 
Mwana jamii one bana!!
kusema kweli perfomance yake ilikuwa hot kama kawa ila mimi nilikuwa dorooo! Si unajua kiuoga uoga ile kitu inatakiwa kichwani usiwe na mawazo kabisa.
Sasa hapo ndipo ulipokosea best duh I wish ungetutonya mapema kabla hujapiga kazi mkuu. Yaani pale ulitakiwa ucheze kuliko pele (hivi wachezaji guru wa mpira kwa sas hivi ni kina nani tena? Kaizer atakutajia majina yao). Yaani unajikunja kiasi kwamba anahisi pengine hujawahigawa nje na zile sms ni za utani tu. Unamaliza mchezo lol

A good s..x is medicine to all diseases (...in one package).
Hakikisha next time hu-underperform!!

(nyamayao... kuna mtu kaiba password yangu wallah hata si mimi)
 
Hio statement umenikumbukusha ofisi moja mdada fulani alikuwa ameolewa kila kukicha alikuwa anamuongelea mume wake na kumsifia jinsi alivyomuaminifu kwake kumbe wanawake wenzake wanamchora na kumcheka tu watu wanamchukulia mumewe kiulani tena hao hao wanawake anaofanya nao kazi ofisini

Hivi unamsifiaje mtu ambaye hamjabanana? asubuhi kila mtu anapita njia yake. hata kama mnafanya kazi ofisi moja, so long as kila mtu ana miguu yake inatosha kabisa kufanya lolote. swala ni kuomba Mungu tu awe anacheza salama.
 
Msaada wenu wa mawazo please.
Juzi Nimerudi kutoka safari ya kikazi na kwa bahati mbaya wife ameibamba sim card yangu ya siri(ambayo yeye alikuwa haijui)
Kwenye hiyo laini kuna sms za hatari amezikuta ambazo mtu mzima nimeshindwa kabisa kujitetea kwani mambo ni hadharani.
Ikabidi nimwombe radhi wife na nikamwambia ni shetani tu.
Cha ajabu wife wangu ambaye ni mtata sana akanisamehe kirahisi sana bila kuleta songombingo.
Wakati sio kawaida yake kwani siku za nyuma kama akitilia shaka jambo hata kama si la kweli basi moto wake si wa kitoto.
Jamani hivi wife kanisamehe kikweli kweli au anapanga 'revenge' ambayo nitakiona cha moto?
Au na yeye yapo mabaya yake hivyo kaona ngoma ndroo haina haja ya kulianzisha?
Mwenzenu nina hofu kweli.

sasa mkeo alikuwa anatafuta nini tena kwenye simu card iliyofichwa? wakati mwingine tunajitafutia ugonjwa wa moyo wenyewe. mi sitaki kabisa kugusa simu ya mtu, bado napenda kuishi bila ugonjwa wa moyo.................... amani tele, kwa raha zangu!
 
Fixed mammy you are right kabisa hiyo ilikuwa principle yangu mie until siku moja ambayo nilijikuta nashindwa kulala kwa kuwa roho flani (hata sijui ilitoka wapi) ilikuwa inaniambia leo angalia simu yake. Nilijikaza nisiisikilize roho ile nikapanda zangu kitandani na kujifanya ninasinzia yaani for more than 30 minutes nilisukumwa ndipo nikasema ngoja nikaichungulie (for the first time since our being together)........... nilijuta.
 
Ah jamani humu ndani ya nyumba kuna wazoefu balaa..... yaani hii imetoka mdomoni (mkononi) mwa mzoefu haswa!!! Nimecheka sana sipati picha dume zima limegoma kula siku mbili kisa? Toba.

Mmmh, hapo si uzoefu ndugu, kama yeye anaona hilo ni suala dogo atapoteza familia yake. amini nakuambia, kuna mengi yamejificha hapo. moja ni kuwa huenda huyo mke ndo muathirika mkubwazaidi- yaani huenda anawaza na hapati jibu, so majibu anayo mtuhumiwa na jibu pekee ni toba. ninauhakika kama jamaa yupo makini na familia yake hata chakula hakiliki kwa wakati huu. sasa huoni ni bora aweke wazi hilo??? aonyeshe toba ya kweli kwani kosa alilofanya ni dharau sana kwa mke wake, na linamdhalilisha yeye (mume)pia. akichukulia rahisi rahisi hana amani hapo.
kukaa na mkewe, kujuta na kutubu na kurudia ahadi zao ni muhimu sana. hapa tunazungumza maisha na si vinginevyo.

kukaa kimya na kuona yameisha bila ya mwovu kuonyesha majuto na toba ya dhati ni kumtwisha huyo mama maumivu makali- huyo mama anaweza asitoke nje na asilipe kisasi, ila atapoteza mapenzi nae . na akipoteza mapenzi ndo itakuwa mwanzo wa vurugu, kwani baba atadai kuwa ne revenge imekuja
 
Fixed mammy you are right kabisa hiyo ilikuwa principle yangu mie until siku moja ambayo nilijikuta nashindwa kulala kwa kuwa roho flani (hata sijui ilitoka wapi) ilikuwa inaniambia leo angalia simu yake. Nilijikaza nisiisikilize roho ile nikapanda zangu kitandani na kujifanya ninasinzia yaani for more than 30 minutes nilisukumwa ndipo nikasema ngoja nikaichungulie (for the first time since our being together)........... nilijuta.

Mimi pia MJ1 sikuwahi kushika simu ya mzee hapo nyuma ,lakini siku nilipoishika nilijuta sana na nadhani ni roho wa mungu alinituma nilikumbana na maajabu ya dunia ..ilikuwa 4 years past
hawa wana mambo
 
too touching my dear... dont go in too deep rafiki
 
Msirudie tena.....maisha sio magumu kiasi hicho...
 
Poleni sana wamama wnenzangu. Ndo hayo ninayoyakataa mimi. sijasema kuwa wangu ni msafi sana, ila sitaki kuja kujuta............ hata mimi kuna kipindi huwa napata sana kishawishi cha kuangalia simu ya mzee. utakuta kuna kipindi anapokea sms halafu kwa jinsi wasivyojua kujikausha utaona kabisa kuna walakini, lakini huwa napotezea kiaina ili nisizushe la kuzusha. na sometimes hali hiyo ikinikuta sana huwa nasali na kumkemea shetani; maana naona ni lishetani tu hilo linataka kuniharibia maisha yangu................. nimesema sitaki presha mimi, na itakuwa hivyo... sigusi simu yake ng'o, hata akiisahau akaenda kazini ataikuta alipoiacha. full stop!
 
Mimi yalikwishanikuta kama hayo na kilichotokea mpaka leo sitokuja kusahau kwani nilikuja gundua nae anatoka nje tena na rafiki yangu ambaye tulikuwa tunaaminiana sana,siku niliyowakuta live aliniambia kuwa nae anafanya kama nilivyofanya mimi hivyo nimsamehe kama yeye alivyonisamehe na tuendelee kuishi kama kawaida.
Ushauri:Chunga sana mienendo yake na jaribu kutulia maana si rahisi mtu kuchukuliwa chake na akasamehe kirahisi namna hiyo hasa kwa wanawake,mwoneshe unajutia kufanya vile na usijenge mazingira ya kumficha jambo kwake,kuwa wazi muda wote hata kwa jambo dogo na mwisho atakuamini na kusamehe kwa kujua sasa umebadilika na kuwa mtu safi kwake.
 
Hiyo inaitwa "Jino kwa jino" safi sana kama una huo uwezo. tatizo tu sisi wamama tunawaza watoto, mara aibu, mara nini sijui... mi ndo maana ni bora niishi nikiamini kuwa wote tupo pamoja i.e. hakuna kuiba wala kuibiwa
 
Mimi yalikwishanikuta kama hayo na kilichotokea mpaka leo sitokuja kusahau kwani nilikuja gundua nae anatoka nje tena na rafiki yangu ambaye tulikuwa tunaaminiana sana,siku niliyowakuta live aliniambia kuwa nae anafanya kama nilivyofanya mimi hivyo nimsamehe kama yeye alivyonisamehe na tuendelee kuishi kama kawaida.
Ushauri:Chunga sana mienendo yake na jaribu kutulia maana si rahisi mtu kuchukuliwa chake na akasamehe kirahisi namna hiyo hasa kwa wanawake,mwoneshe unajutia kufanya vile na usijenge mazingira ya kumficha jambo kwake,kuwa wazi muda wote hata kwa jambo dogo na mwisho atakuamini na kusamehe kwa kujua sasa umebadilika na kuwa mtu safi kwake.

huyo ni mpuuzi wa mwisho... kwani ana maisha ya visasi!!! na rafiki yako nae feki... a true friend asingefanya hivyo

Je wewe ungemkuta, ungeenda kupiga rafiki yake? kama ndiyo, basi na wewe ungekua na matatizo
 
Jamani mbona kila mtu anashauri nimlinde 'Ndibalema' orijino?

sababu umevuruga amani ya nchi hivyo huna budi kuimarisha ulinzi ikulu.
usimwone kanyamaza si ajabu ukijua anachokiwaza moyoni mwake unaweza kufa kabla ya siku.
nyie wanaume ni chanzo cha shida nyingi humu duniani,ni wachache waliotulia.
 
huyo ni mpuuzi wa mwisho... kwani ana maisha ya visasi!!! na rafiki yako nae feki... a true friend asingefanya hivyo

Je wewe ungemkuta, ungeenda kupiga rafiki yake? kama ndiyo, basi na wewe ungekua na matatizo

Cousin samaki wa mwanza ndio wanakufanya usahau members wa chama chako
 
Hapa leo magriiit thinkaz tuajadiliana nini vile?:A S 13::A S 13::A S 13:
 
Back
Top Bottom