Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
it make sense.wamekuwa kama wachezaji mpira kila siku miaka yao haiendi mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwenyewe nilidhani maza ake...Halafu huyu demu miaka kumi ijayo atakua exactly kama mama yake anavyoonekana leo....
Ndio yeye mkuu hapo bado hajaingia gereji.
wema kwasasa sishangai kuwa na umri wa miaka 22, kwasababu alimaliza darasa moja na mdogo wangu ambaye yeye kwa sasa ana miaka 24, na ananiambiaga alimzidi wema mwaka mmoja wakati wapo darasa la saba pale academic mikocheni
it make sense.wamekuwa kama wachezaji mpira kila siku miaka yao haiendi mbele.
Dinazarde amini nakuambia, huyu binti wema kakua alivyoanza secondary, baada ya kuanza kutembea na vijana wa form 5 pale pale shule kakiwa form one, ila hakumdanganya umri, alikua mdogo sana , hata mdogo angu alikua mkubwa kimaumbile na kimuonekano, ila kwa sasa wakitembea wote mtasema serengeti boy wake, kazeeka na kukomaa chap chapHapanaa itakua alimdanganya miaka mbona kazeeka sasa Wema
Dinazarde amini nakuambia, huyu binti wema kakua alivyoanza secondary, baada ya kuanza kutembea na vijana wa form 5 pale pale shule kakiwa form one, ila hakumdanganya umri, alikua mdogo sana , hata mdogo angu alikua mkubwa kimaumbile na kimuonekano, ila kwa sasa wakitembea wote mtasema serengeti boy wake, kazeeka na kukomaa chap chap
Ndio yeye mkuu hapo bado hajaingia gereji.
wema kwasasa sishangai kuwa na umri wa miaka 22, kwasababu alimaliza darasa moja na mdogo wangu ambaye yeye kwa sasa ana miaka 24, na ananiambiaga alimzidi wema mwaka mmoja wakati wapo darasa la saba pale academic mikocheni
hawezi kuwa na umri huo bwana, wakati akishiriki umiss tanzania 2006 alikuwa na umri wa miaka 18 na hata sura yake ilijionesha hivyo. sasa kama anaumri huo inamaana alikuwa miss tz akiwa na miak 16? big no...anamiaka 26 asituletee uwongo wake hapa...Kamanda hapa ntabishana na wewe kwa herufu kubwa halafu natia bold kisha naongeza font size..Yaani sijui mtu uwe mjinga kiasi gani ndio aamini kuwa huyu demu ana huo umri...Huyu labda late 20s au early 30s ndiko mshale unakogotoea..Lupita btw akidanganya ana 26 mtu unaweza kuamini ila sio Wema bana....Wema ana dalili zote za utu uzima..![]()
Eti huu uso umekula xmas 22 tu..No waaay...
so alishiriki umis akiwa na miaka 16?