Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

hawezi kuwa na umri huo bwana, wakati akishiriki umiss tanzania 2006 alikuwa na umri wa miaka 18 na hata sura yake ilijionesha hivyo. sasa kama anaumri huo inamaana alikuwa miss tz akiwa na miak 16? big no...anamiaka 26 asituletee uwongo wake hapa...
mie hapa tutakesha mpaka asubuhi, ila lets agree to diagree, huyu mwanamke kapitia shoruba nyingi kupelekea kuzeeka ki mwili, katumia madawa , katoa ...., kajichubua n.k....inshort now ana umri miaka 23 ..anatimiza mwaka huu...
broila uyo:wink2:
 
Kamanda hapa ntabishana na wewe kwa herufu kubwa halafu natia bold kisha naongeza font size..Yaani sijui mtu uwe mjinga kiasi gani ndio aamini kuwa huyu demu ana huo umri...Huyu labda late 20s au early 30s ndiko mshale unakogotoea..Lupita btw akidanganya ana 26 mtu unaweza kuamini ila sio Wema bana....Wema ana dalili zote za utu uzima..
attachment.php

Eti huu uso umekula xmas 22 tu..No waaay...

lets agree to disagree...
ila mdogo wangu wa mwisho ambaye sasa anatimiza 24 ndo wako sawa, ila yeye wakiume, wakike wanakua vibaya, istoshe uyu kapata ustar akiwa mdogo, ukichanganya na ulimbukeni wa kutokomaa ki akili basi daah ,,,tabu tupu lafutuka ajabu
 
Huyu ana xmas 26 au 27 ila uso umechoka kama gari ya kubeba mkaa thats y hata sauti huwa si yake anajifanya mtoto
 
lets agree to disagree...
ila mdogo wangu wa mwisho ambaye sasa anatimiza 24 ndo wako sawa, ila yeye wakiume, wakike wanakua vibaya, istoshe uyu kapata ustar akiwa mdogo, ukichanganya na ulimbukeni wa kutokomaa ki akili basi daah ,,,tabu tupu lafutuka ajabu

Nimekupa like maana daaah...Ngumu kumesa...Mi siamini bana..No way macho yangu yanapingana na usemacho.
 
Wanajipunguzia miaka ya kuishi kwa kutaa kukili baraka za uhai walio pewa.pole yao
 
Nimekupa like maana daaah...Ngumu kumesa...Mi siamini bana..No way macho yangu yanapingana na usemacho.

mkuu ndo mana alivyoshinda umis watu wakaribu walifaidi sana viofa , ndo mana wakawa wanamkenulia mimeno tu, hakuna aliye dare ku speak the truth wakati enzi izo unatolewa outing swimming na vibia kazaa, unaona life sindo hili....
moyoni wakijua kuna chezo lilichezeka na kina lundega..maana ka wema kalikua si kawema tayari
 
Leo sio mara yangu ya kwanza kumsikia Lupita ila leo ndio nimeujua umri wake halisi.Lupita amezaliwa 1983 kwa hiyo ana miaka 31.
Ila inashangaza jinsi ambavyo Wema anayedai ana miaka 22 na Wolper anayedai ana 26 mbona sura zao zimelegea sana as if wamekula christmas nyingi kupita dada yao Lupita.

Kwa kweli ni vigumu mtu kunishawashi kuwa hawa warembo wetu ni wa wadogo kuliko Lupita.
Hawa dada zetu wamezidi kudanganya umri kama Wolper anaonekana kabisa yuko mid 30 ila anajifanya mdogo na kubehave kama teenager.

Dada zangu umri mkubwa nao una faida zake na pia kuishi kwingi ni baraka.Kwanini mnajirudisha nyuma wakati nyuso zetu zinaonesha nyie ni watu wazima?Au mnadhani mkisema umri wenu ndio hatutafurahia kazi zenu au mnaogopa nini hadi mtudanganye wakati tuna macho na tunaona kabisa mu wakubwa zaidi ya mnavyodai.

View attachment 143333View attachment 14333531 years old Lupita.

View attachment 143336View attachment 143337View attachment 143338View attachment 143340View attachment 14334122 years old miss Sepetu.

View attachment 143342View attachment 143343View attachment 14334526 years old Wolper

umalaya na kutoa mimba nako kunachangia...
 
Ukitaka kufananisha warembo usiwachukulie machangu wa bongo movie na kuwafananisha na kina dada wenye heshima zao kwani utakuwa hauwatendei haki kina Lupita. Hivi Wema ni demu kweli wa mtu kuishi naye wakati muda wote yeye na chupi mkononi?
 
And funniest thing is the splitter92 of a guy is a black dude,BTW "harpy" means an unpleasant woman.....

Well To me,Lupita is one of the Most beautiful black women alive

Say no to racism JF members

1650920_YearMonthDay335_jpgfea276c6e58e5994d241aede924de405

1650921_YearMonthDay337_jpg2de063e17583f2e2f23cc20993d33018

1650922_YearMonthDay334_jpge84423dcc2993d59692aa48713e3ebbf

1650923_YearMonthDay333_jpgfb7bc2592d3b8d9eac8893d848ea7e32
 
Wazungu nawachukia sana. ***** zao

mimi pia nachukia sana ubaguzi sana,sehemu nyingine ubaguzi upo ata kwenye nyumba za ibada,uko Asia na Uarabuni ndio balaha unakuta mtu anasali au anaswali sana lakini ni mbaguzi sana sasa sijui ni mungu gani wanaomuomba,harafu ndio wametuletea dini
 
Kiukweli kabisa,mimi ningeshamtia mtu kilema kama akionyesha hisia za kibaguzi mbele yangu.
 
mimi pia nachukia sana ubaguzi sana,sehemu nyingine ubaguzi upo ata kwenye nyumba za ibada,uko Asia na Uarabuni ndio balaha unakuta mtu anasali au anaswali sana lakini ni mbaguzi sana sasa sijui ni mungu gani wanaomuomba,harafu ndio wametuletea dini

Mimi nawaambiaga hata ndugu zangu,Mzungu atabaki kuwa Mzungu na mimi Muafrika nitabaki kuwa kiumbe niliyejaaliwa neema milele!
Ila kuna baadhi ya wenzetu ndio wanatufanya tuonekane kama Waafrika hatuna akili na vitu kama hivyo.
Proud to be African.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Ukisoma kwa makini utagundua hayo ni majina ya kiarabu.. Kiasia.. Wana inferiority complex sana hawa watu.. N i never see them hapy
 
finally if monkey can do wonders like Lupita then better to be a monkey than a white person. Wangese sana hawa watu.
 
Money Stunna , kusema Lupita ni among the very beutuful black girls alive, ni kuwa racist na kuiundermine black race.

She is just normal black girl, not so beutuful, kuna watoto wazuri et,with black skin ,akina CUTE cherry ......

Kwamba Lupita Is what a black race can offer??? Nakataaa
 
Last edited by a moderator:
Ubaguzi upo kila kona duniani people,relax na ukubali matokeo.sisi wenyewe mbona tunabaguana sana kwa itikadi za kisiasa,kidini,kikabila!!!!!
 
Tatizo ni tabia yetu weusi kujiona wanyonge kupita kiasi...tatizo ni nini ? mnataka wazungu watuite weupe ? tuache ujinga....Huyo mzungu akikuita nyani na wewe si umuite nyani mweupe..? tofauti si rangi ya ngozi tu ?

Na kwa nini mtake weupe watusaidie eti kupigania haki zetu za kubaguliwa, kama wanavyofanya FIFA na wengine ?...huu ni upuuzi....

Just be happy people of colour...hakuna kitakachobadilika watuite au wasituite watakavyo.....

Mbona albino ni uzao wetu na bado tunawahesabu kama walemavu ? kama tatizo ni weupe nao si weupe ?...utaona ni udhalili kuitwa mweusi iwapo tu unatamani na kumuonea wivu aliye mweupe...na huu ni ujinga wa mwisho.

Tupambane duniani kwa mambo muhimu, kama sayansi na teknolojia, na kama yanatushinda bado tunamiliki urithi muhimu wa uumbaji wa dunia....mnahitaji thawabu gani zaidi ya rasilimali hizo tulizokabidhiwa na muumba.....wanyama, maliasili kibao ambazo hata kuzitunza zinatushinda, Tembo wanamalizwa tunakenua tuuu...mkiulizwa tatizo mtasema wazungu......

Mimi ninapokutana na mzungu na akaonyesha dalili ya kunibagua..huwa namwambia tu kimoyomoyo kuwa siku akiutambua ukweli atarudi na kuniabudu....

kwa mfano NUHU wa safina, anayeongelewa na vitabu vya kale, sio wengi watakubali kuwa alikuwa mweusi...na ndio maana hadi leo asilimia tisini ya wanyama walionusurika na gharika wanaishi afrika (mother land)

Hata ukifanya hesabu ya binaadamu walio/wanaofanya vizuri kwenye upande wa uwezo/vipaji vya asili (talents) ni weusi....ukianzia kwenye kandanda (Pele), boxing (Mohamed ally), music (Michael Jackson), kujenga safina (Nuhu), tenis (seren), Golf (Tiger woods).........
 
Hivi Nuhu alikuwa black kumbe.
 
Back
Top Bottom