Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

it make sense.wamekuwa kama wachezaji mpira kila siku miaka yao haiendi mbele.
 
Hahahahhaha,nmebaki kucheka tu mana sio siri wametishaaa....kama wema ndo daah balaa,wakati mtoto black beauty lupita anawakaaa,
 
wema kwasasa sishangai kuwa na umri wa miaka 22, kwasababu alimaliza darasa moja na mdogo wangu ambaye yeye kwa sasa ana miaka 24, na ananiambiaga alimzidi wema mwaka mmoja wakati wapo darasa la saba pale academic mikocheni

Hapanaa itakua alimdanganya miaka mbona kazeeka sasa Wema
 
Watu mna maneno humu aiseee nimechekajee !!!@evelynsalt weyeeeeeee
 
Hapanaa itakua alimdanganya miaka mbona kazeeka sasa Wema
Dinazarde amini nakuambia, huyu binti wema kakua alivyoanza secondary, baada ya kuanza kutembea na vijana wa form 5 pale pale shule kakiwa form one, ila hakumdanganya umri, alikua mdogo sana , hata mdogo angu alikua mkubwa kimaumbile na kimuonekano, ila kwa sasa wakitembea wote mtasema serengeti boy wake, kazeeka na kukomaa chap chap
 
Last edited by a moderator:


dah yaani hapa huyu ndugu yetu ameanza kuuchungulia uzee kabisa...
 

Kamanda hapa ntabishana na wewe kwa herufu kubwa halafu natia bold kisha naongeza font size..Yaani sijui mtu uwe mjinga kiasi gani ndio aamini kuwa huyu demu ana huo umri...Huyu labda late 20s au early 30s ndiko mshale unakogotoea..Lupita btw akidanganya ana 26 mtu unaweza kuamini ila sio Wema bana....Wema ana dalili zote za utu uzima..


Eti huu uso umekula xmas 22 tu..No waaay...
 
so alishiriki umis akiwa na miaka 16?
wema kwasasa sishangai kuwa na umri wa miaka 22, kwasababu alimaliza darasa moja na mdogo wangu ambaye yeye kwa sasa ana miaka 24, na ananiambiaga alimzidi wema mwaka mmoja wakati wapo darasa la saba pale academic mikocheni
 
hawezi kuwa na umri huo bwana, wakati akishiriki umiss tanzania 2006 alikuwa na umri wa miaka 18 na hata sura yake ilijionesha hivyo. sasa kama anaumri huo inamaana alikuwa miss tz akiwa na miak 16? big no...anamiaka 26 asituletee uwongo wake hapa...
 
sura 1 vipodozi karibu 50 kwa wakati mmoja kwanini usizeeke :thinking:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…