Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

Lupita kapendeza kweny hio picha

Huyu dada amepata mafanikio kweny kazi yake....

Wenye chuki hawatokosa.
 
Hivi Nuhu alikuwa black kumbe.

kumbe wale wanyama aliowaingiza kwenye safina aliwatoa wapi kama sio Serengeti na Ngorongoro.......huko ulaya, au middle east kama tunavyosimuliwa, hao kina Tembo, simba, chui na wenzao wangetokea wapi ?
 
Fyatu umetisha..hahaha. .Wale wanyama walijipeleka wenyewe Fyatu ama we ulisoma biblia ipi kuwa nuhu aliwatafuta
 
Hahaaaa kweli we FYATU kwahiyo dunia nzima Afriva tu ndo kuna wanyama lol! hivi na wale dubu na yule Simba aliyepigana na Samson walitokea wapi lol!
 
Last edited by a moderator:
Ubaguzi upo kila kona duniani people,relax na ukubali matokeo.sisi wenyewe mbona tunabaguana sana kwa itikadi za kisiasa,kidini,kikabila!!!!!

si sawa mkuu ,bora mtu akubague kwa namna ingine na si kwa rangi ya ngozi yako.. acha kabisa ubaguzi uo ,unauma sana!
 
Lupitaa anapepeaa watakoma na comment zao
 
Stay black
Waache wajione bora lakini sisi tuko juu
 
tungekua tunawachukia mngeendelea kuimport carolaiti???
 
Wivu tu unawasumbua hawa ila imeshakuwa.....binti kasha win....watabakia maneno tu
 
Hata wamtusi kiasi gani umaarufu na fedha anazoingiza ni kamwe hawatoweza kumfikia wala kumrudisha nyuma. Aliyebarikiwa na Mola kabarikiwa.
 
mwenyewe kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Kuna wanugu fulani wanakasirika sana wakiona Waafrika wameitoa nchini mwao na wao wamelost.

Kuna wakati ghetto hoochie mamas fulani walimshambulia Flaviana Matata eti kajibadilisha jina Marekani (something that is common in the US but an oddity for most Tanzanians) ili jina lake liwe kama "Hakuna Matata".

Wakati Flaviana tunamjua kitambo tangu anaanza mambo ya u model na hilo ndilo jina lake.

Unamwambia mtu avae wigi wakati.watu wamemchagua precisely kwa sababu havai wigi, ni authentic.

Ni wivu na ujinga tu.
 
Fyatu umetisha..hahaha. .Wale wanyama walijipeleka wenyewe Fyatu ama we ulisoma biblia ipi kuwa nuhu aliwatafuta

That is nice...walijipeleka, si kwa sababu safina lilikuwa jirani...unataka kuniambia walifunga safari kutoka africa hadi middle east ?
 
Hahaaaa kweli we FYATU kwahiyo dunia nzima Afriva tu ndo kuna wanyama lol! hivi na wale dubu na yule Simba aliyepigana na Samson walitokea wapi lol!

Ndio maana nilisema asilimia tisini wapo Africa....achana na hao wachache akina kangaroo na wengine.

Na kuhusu Samson ndio tujiulize huyo simba anayeongelewa vitabuni alitoka wapi middle east, tena jangwani.....so umepata jibu kuwa Samson alikuwa Africa.......na hapo hatujawaongelea kina zinjathropus na mambo mengine mengi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…