Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

Hey Jamiiforums What do you like about her outfit?



1673178_Lupita_2_JPG79f645278f13b956a1ed3f2f924a2bf7

1673179_Lupita_JPG580d820f220ce070c6dacfddd9129de3
 
Kwanini asijichubue tu afaidi Ujana ! Utakuta anatamani ila basi tu atafanyeje!

We li Rangi hilo khaaaa !

:sorry:

:closed_2:
 
maana nimekuwa nikisikia sana jina lake,amekuwa star ghafla
 
Bado kuna visingizio lupita amesona majuu babake ni waziri familia yao tu iko vizuri mpaka kuwa na uwezo wakumsomesha huko mexico hata mdogo wake anasoma florida kuna tofauti wasanii wetu wengi ni wametokea mitaani tu na wengi hata hawajasona so inawia vigumu kutamulika majuu kidhungu ziro.
Kwan kutokea mtaani ndo ushindwe kutoka?? Endelea kulia lia tu
 
Kama hakutamani kuwa msanii, hizo bongo movies anaigiza kwa kigezo gani?
Of all the places, Malaysia nako kuna elimu? Najua mimi ni kilaza nilikimbia umande lakini siamini kama Malaysia kuna elimu nzuri.

Kama elimu iyo ambayo sio nzuri ilimshinda je unafikiri ataweza mudu elimu nzuri??
 
Lupita first African to win an Oscar. Hongera zake. No matter where you are from your dreams are valid. Qoute Lupita Nyongo.

sio mwafrika wa kwanza kuchukua oscar,wa kwanza ni charlize theron
 
sio akli finyu tu na elimu duni angekuwa na akili asingepiga picha na taulo na ndo maana hatufiki tutabaki hapohapo kuigiza tamthilia na kuziita movie

Kama izo bongo movie nazo ni tamthiliya , na zile za Mexico ni nini?? Ama zile za Phillipines,
 
Back
Top Bottom