Chona
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 523
- 365
Ok nyie iliboru mie chama linalojulikana kichwa cha tanzania,am talking about berlin! Hapo alisomeshwa kichwa namber moja wa tanzania.Pale vilaza hawapiti salama,nature eliminates them
mimi sikuwa huko, nilikuwa kwa makamanda Tabora Boys, nachoweza kusema kwa ndugu zangu wa ilboru, kuhusu Mwigulu, "yule mtoto si rizki".
Wakuu pamoja sana. Ila uzi huu ulikuwa wa wana Ilboru na matendo wanayofanyiwa na mwenzao. Tusiwashangae kwanini mwenzao anafanya vitu visivyoendana na watu waliopitia shule hizo. Hata sisi tunae member hapa anaitwa Rejao siku zote huwa ananishangaza kwa mitazamo yake. Sie tuna uzi wetu hapa mkiutafuata mtaupata.