Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Siku hizi watu wameanza kumuomba awanyandue! Kazi ipoYesu ni njia kweli na uzima
Kwa mleta mada auTatizo la changamoto ya afya ya akili
Kwa hao wanaoimbaKwa mleta mada au
Tatizo aliyeimba ni mwanaume, ni matusi makubwq sana kwa dini hii kumkashifu mwana wa Mungu. Lakini wahusika wamekaa kimya tuu badala ya kumkata kichwa.Ukristo wageuka dini huria, kila mtu afanya atakalo, uongozi wa kiroho umegeuka biashara.
Content za minyanduo zavamiwa na waimbaji wa Injili. Dunia uwanja wa Fujo.
Yes apewa character ya kunyanyua na kunyandua mchana kweupe Yesu mwamba anaelekezwa afanye kuwanyandua waimbaji.
Toba Toba vituko juu ya vituko
Wadiz nimeduwaa itaonekana mabaharia tumeuza content ya wimbo huo.
Uwo muda tunatoa wapi wa kumkata kichwa labda nyie mfanye hivyo si mnasemaga Yesu ni Issa na ni mmoja wa mitume wenu.Tatizo aliyeimba ni mwanaume, ni matusi makubwq sana kwa dini hii kumkashifu mwana wa Mungu. Lakini wahusika wamekaa kimya tuu badala ya kum7kata kichwa.
Sisi hatuna ujinga huo mungu mwenyewe atamuadhibu kwa namna anavyoona kwa sababu sisi wenyewe sio wasafi mbele za mungu yanini tuhukumu kabla hatuja hukumiwa?Tatizo aliyeimba ni mwanaume, ni matusi makubwq sana kwa dini hii kumkashifu mwana wa Mungu. Lakini wahusika wamekaa kimya tuu badala ya kumkata kichwa.
Even 2Pac would be proud of you brethrenNi vyema mambo yao tungewaachia wao wenyewe, sisi waislam tudili na ya kwetu.
Nao ya kwetu watuachie sisi wenyewe, kila mtu afanye anachoona ni sahihi mradi havunji sheria za nchi wala dini yake, wa kumkemea ni watu wa dini yake.
Ukisoma quraan, kuna aya kadhaa Allah anasisitiza "haya ni mazingatio kwa wenye fikra(akili)"
Aya ina maana kubwa sana ile.
Waswahili wana kamsemo, kama sijakakosea ni "mwenye akili haambiwi tazama"
Wao wenyewe watajua ipi pumba ipi mchele, kama hii dini ni uongo ama ni ukweli.
Hayanaga muongozo...Khakhakhaaaa!!
Dunia inakoelekea hatari sana
cc@Smart911