Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Aiimbe tu vizuri....ila asiseme tu TOKA NYIE MAPEPO....mgombea mkuu atadhurika...safari hii sio kuanguka tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha bahati nzuri ni kuwa ulifikir!Kumbe huwa kuna wakati macho yako yanaona eeh? Mimi nilifikiri na wewe ni wale binded CCM followers, otherwise good point bro!!!!!
...nimesikitishwa sana na kitendo cha wewe kukubali kuchanganya siasa na dini...
Kwa muimbaji wa dini to me is completely loosing focus!
wewe ndiye uliyechanganya vitu hivyo. huyo dada ameenda kikazi kama msanii na analipwa fedha kama msanii aliyekodishwa. aidha, katiba ya tanzania inamruhusu huyo dada kushiriki siasa bila kuathiri dini yake tofauti na hiyo katiba yako ya ulokole inayoonekana kumkataza mlokole kushiriki siasa. pole kwa kutoelewa haki ambazo katiba ya nchi hii imewapa raia wote bila kujali dini ya mtu nk.
Mwenzako anajiafutia kiti maalum hapo..
Lakini nyie waimbaji wa nyimbo za injili si mumsifu bwana kwa kutangaza neno lake kupitia neno lake takatifu?? kuliko kutangaza neno la bwana JK..mnafikri fans wenu ambao wanaitikadi tofauti tofauti za kisiasa wanafurahishwa na hili?
Au nyie ndiyo wale ambao mpo afta mane na si kueneza neno takatifu..poor you!!!
Mbona kwa Dr. Slaa hamsemi ya kaisari mpe kaisari na ya mungu mpe mungu? Hacheni unafiki. kwa Dr. Slaa sawa ila kwa Mbasha hapana., wanafiki wa kubwa nyie.

kwa Dr. Slaa sawa ila kwa Mbasha hapana, wanafiki wa kubwa nyie
Unajuaje labda na yeye kaacha kuimba injili? Pili kuimba injili hakumzuii kuimba nyimbo za kampeni.
Labda wameona ili mkuu asianguke tena basi watafute mwimbaji wa kilokole aimbe kwanza kabla mkuu wa kaya hajahutubia.
All in all it is disappointing kuona mwimbaji wa nyimbo za injili anashabikia kwa uwazi mgombea mmoja. Mwimbaji wa injili ni kama mhubiri na ukiona mhubiri anapanda jukwaani kumpigia kampeni mtu basi ujue hapo injili inaanza kuchakachuliwa. Huenda binti ameahidiwa viti maalumu na akaamua kumsaliti Bwana kama Yuda Iskariote