Elections 2010 Waimbaji wa makundi ya dini kushiriki kampeni

Aiimbe tu vizuri....ila asiseme tu TOKA NYIE MAPEPO....mgombea mkuu atadhurika...safari hii sio kuanguka tu...
 
Mwenzako anajiafutia kiti maalum hapo..

Lakini nyie waimbaji wa nyimbo za injili si mumsifu bwana kwa kutangaza neno lake kupitia neno lake takatifu?? kuliko kutangaza neno la bwana JK..mnafikri fans wenu ambao wanaitikadi tofauti tofauti za kisiasa wanafurahishwa na hili?

Au nyie ndiyo wale ambao mpo afta mane na si kueneza neno takatifu..poor you!!!
 
Kumbe huwa kuna wakati macho yako yanaona eeh? Mimi nilifikiri na wewe ni wale binded CCM followers, otherwise good point bro!!!!!
Ha ha ha bahati nzuri ni kuwa ulifikir!
Wengi tunaogopa kusema ukweli. Hili ni tatizo na lazima lipigiwe kelele. Hawa jamaa wa kwaya they are inseparable hata kama watasema sasa hivi tunaimbia dini then baadae siasa. Hata wanasiasa nao wanatatizo na huku ndio kuchanganya dini na siasa. Wanachokifanya pale ni kutumia nguvu ya vikundi vya dini kwa ajili ya maslahi binafsi km wanavyofanya hao wenye vikundi hivyo. Ipo haja ya kupambana na hawa CCM kwenye hili wawaache watu wa dini waendelee na mambo yao ya dini otherwise itafika mahali mambo yatakuwa si shwari. Nina hakika uhuni huu wa CCM na wanakwaya wanaotumiwa na CCM hauwapendezi wengi. Tunaipenda nchi yetu kwamaana ni nchi yetu soote.
 
Kwa muimbaji wa dini to me is completely loosing focus!
 
...nimesikitishwa sana na kitendo cha wewe kukubali kuchanganya siasa na dini...

wewe ndiye uliyechanganya vitu hivyo. huyo dada ameenda kikazi kama msanii na analipwa fedha kama msanii aliyekodishwa. aidha, katiba ya tanzania inamruhusu huyo dada kushiriki siasa bila kuathiri dini yake tofauti na hiyo katiba yako ya ulokole inayoonekana kumkataza mlokole kushiriki siasa. pole kwa kutoelewa haki ambazo katiba ya nchi hii imewapa raia wote bila kujali dini ya mtu nk.
 
Kwa muimbaji wa dini to me is completely loosing focus!

Not only loosing focus but also loosing his credibility i doubt there is something else she is looking more than that. Yesu alisema vya kaisari mpe kaisari na mungu mpe mungu.I thought ana hubiri jina la bwana Yesu kwa kupitia nyimbo za dini kumbe ana yeye ni vice versa
 
wewe ndiye uliyechanganya vitu hivyo. huyo dada ameenda kikazi kama msanii na analipwa fedha kama msanii aliyekodishwa. aidha, katiba ya tanzania inamruhusu huyo dada kushiriki siasa bila kuathiri dini yake tofauti na hiyo katiba yako ya ulokole inayoonekana kumkataza mlokole kushiriki siasa. pole kwa kutoelewa haki ambazo katiba ya nchi hii imewapa raia wote bila kujali dini ya mtu nk.

Kama msanii aliyekodishwa kumpigia kampeni kikwete au kama msanii aliyekodishwa kufanya nini?
 
Mwenzako anajiafutia kiti maalum hapo..

Lakini nyie waimbaji wa nyimbo za injili si mumsifu bwana kwa kutangaza neno lake kupitia neno lake takatifu?? kuliko kutangaza neno la bwana JK..mnafikri fans wenu ambao wanaitikadi tofauti tofauti za kisiasa wanafurahishwa na hili?

Au nyie ndiyo wale ambao mpo afta mane na si kueneza neno takatifu..poor you!!!

Hapo kwenye red hiyo ndiyo kazi wanayopaswa kufanya na si vinginevyo
 
Sio wote wamuitae bwana, bwana watauonja ufalme wa mbinguni
 
Mbona kwa Dr. Slaa hamsemi ya kaisari mpe kaisari na ya mungu mpe mungu? Hacheni unafiki. kwa Dr. Slaa sawa ila kwa Mbasha hapana., wanafiki wa kubwa nyie.

Sio unafiki kumbuka Dr Slaa alikiri mwenyewe kuwa aliacha upadri ndio akaingia kwenye siasa hapa tunazungumzia hali halisi na sio unafiki na kwa Dr Slaa alikuwa ni padri before kuja kuwa mwanasiasa sasa sioni unafiki unaosema wewe unatoka wapi
 
Pesa inatafutwa hapo. Kumbuka mwanasiasa/tajiri kuufikia ufalme wa mbigu ni ngumu, ni sawa na kumwambia ngamia apite tundu la sindano!! Baada ya muda utasikia anagombea ubunge viti maalum na hatimaye majimboni!! Siyawezi haya ya kina Dakta Getrude Lwakatare na Florah Mbasha!!
 
Mbona kwa Dr. Slaa hamsemi ya kaisari mpe kaisari na ya mungu mpe mungu? Hacheni unafiki. kwa Dr. Slaa sawa ila kwa Mbasha hapana., wanafiki wa kubwa nyie.

Still ya kaisari mpe na ya Mungu mpe Mungu
 
Mbona kwa Dr. Slaa hamsemi ya kaisari mpe kaisari na ya mungu mpe mungu? Hacheni unafiki. kwa Dr. Slaa sawa ila kwa Mbasha hapana., wanafiki wa kubwa nyie.

kwa Dr. Slaa sawa ila kwa Mbasha hapana, wanafiki wa kubwa nyie

Dr. Slaa alifuata taratibu zote za kutengua daraja lake la upadre na alikubaliwa ndipo akajishughulisha na masuala ya ulei wa kawaida, akaoa na akajishughulisha na siasa kama ambavyo mtu yeyote mwenye wito wa kisiasa anaweza kufanya. Katafuteni fact kwa kanisa katoliki. Huyu ndiye shujaa mwenye maamuzi sahihi kuliko kuwa mdanyanyifu na mkosaji uaminifu!! Mpe Kaisari yaliyo yake Kaisari na mpe Mungu yaliyo yake Mungu, Amua kumtumikia Mungu au Shetani kwa 100% na si kuwa vuguvugu!!

Labda wameona ili mkuu asianguke tena basi watafute mwimbaji wa kilokole aimbe kwanza kabla mkuu wa kaya hajahutubia.
All in all it is disappointing kuona mwimbaji wa nyimbo za injili anashabikia kwa uwazi mgombea mmoja. Mwimbaji wa injili ni kama mhubiri na ukiona mhubiri anapanda jukwaani kumpigia kampeni mtu basi ujue hapo injili inaanza kuchakachuliwa. Huenda binti ameahidiwa viti maalumu na akaamua kumsaliti Bwana kama Yuda Iskariote
 
Unajuaje labda na yeye kaacha kuimba injili? Pili kuimba injili hakumzuii kuimba nyimbo za kampeni.

Eti eheeee kumbe, hakumzuii kuimba nyimbo za kampeni au kukipigia kampeni chama cha siasa? She is wrong no matter how you try to prove your point she is still wrong admit it.
 
Labda wameona ili mkuu asianguke tena basi watafute mwimbaji wa kilokole aimbe kwanza kabla mkuu wa kaya hajahutubia.
All in all it is disappointing kuona mwimbaji wa nyimbo za injili anashabikia kwa uwazi mgombea mmoja. Mwimbaji wa injili ni kama mhubiri na ukiona mhubiri anapanda jukwaani kumpigia kampeni mtu basi ujue hapo injili inaanza kuchakachuliwa. Huenda binti ameahidiwa viti maalumu na akaamua kumsaliti Bwana kama Yuda Iskariote

Sitashangaa kuona kwenye viti maalumu yumo maana hizo ndio fadhila za kumpigia kampeni
 
Labda wameona ili mkuu asianguke tena basi watafute mwimbaji wa kilokole aimbe kwanza kabla mkuu wa kaya hajahutubia.
All in all it is disappointing kuona mwimbaji wa nyimbo za injili anashabikia kwa uwazi mgombea mmoja. Mwimbaji wa injili ni kama mhubiri na ukiona mhubiri anapanda jukwaani kumpigia kampeni mtu basi ujue hapo injili inaanza kuchakachuliwa. Huenda binti ameahidiwa viti maalumu na akaamua kumsaliti Bwana kama Yuda Iskariote

Tangu lini Walokole wakawa watakatifu? Walokole wengi hukimbilia kwenye Gospel baada ya kuchanganyikiwa sana. Hapa simaanishi wote, ile Wengi wao ni wale waliovurunda huko nyuma ndo hukimbilia huku. Ndiyo maana akina Rwakatare wako kwenye siasa huku wakijinufaisha na wizi wa CCM, halafu Jumapili wanaenda kuwahubiria watu neno....very sad
 
wewe ndiye uliyechanganya vitu hivyo. huyo dada ameenda kikazi kama msanii na analipwa fedha kama msanii aliyekodishwa. aidha, katiba ya tanzania inamruhusu huyo dada kushiriki siasa bila kuathiri dini yake tofauti na hiyo katiba yako ya ulokole inayoonekana kumkataza mlokole kushiriki siasa. pole kwa kutoelewa haki ambazo katiba ya nchi hii imewapa raia wote bila kujali dini ya mtu nk.

huyu dada na mimi na muhitji aje awaimbie walevi na wazinifu kwenye baa yangu. Yeye si anacho jali ni pesa tu!
 
Back
Top Bottom