Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
FLORA MBASHA na mumewe ni wasaliti wakubwa wa ukristu kwa kwenda kumuimbia mkwere ama kweli njaa haina jeuri hawa kinachowasumbua ni kukosa hata kodi ya nyumba wanaenda kukengeuka ovyo ovyo na kukata mauno, mijitu kama hii ni taka taka kabisa.
Mkuu, kila kitu ni background ya mtu, hao background yao ni ulimbukeni na kupenda vitu vya bure. Chimba family tree yao you will see. Those mbashas are mere std seven, Flora ni mjukuu wa Moses Kulola. Ukristo kwake ni kama shati-unavaa na kuvua. Maana hasa ya ukristo hajui, hata hapo alipofika ktk kuimba gospel ni kwa sababu ya influence ya babu yake Moses Kulola.
Kwake ukristo ni dini ya babu yake and she lives in that mentality- Trust me.
Mnaomwona na kudhani mkristo aliyeokoka mnapoteza muda wenu bure.