Elections 2010 Waimbaji wa makundi ya dini kushiriki kampeni

Elections 2010 Waimbaji wa makundi ya dini kushiriki kampeni

FLORA MBASHA na mumewe ni wasaliti wakubwa wa ukristu kwa kwenda kumuimbia mkwere ama kweli njaa haina jeuri hawa kinachowasumbua ni kukosa hata kodi ya nyumba wanaenda kukengeuka ovyo ovyo na kukata mauno, mijitu kama hii ni taka taka kabisa.

Mkuu, kila kitu ni background ya mtu, hao background yao ni ulimbukeni na kupenda vitu vya bure. Chimba family tree yao you will see. Those mbashas are mere std seven, Flora ni mjukuu wa Moses Kulola. Ukristo kwake ni kama shati-unavaa na kuvua. Maana hasa ya ukristo hajui, hata hapo alipofika ktk kuimba gospel ni kwa sababu ya influence ya babu yake Moses Kulola.
Kwake ukristo ni dini ya babu yake and she lives in that mentality- Trust me.
Mnaomwona na kudhani mkristo aliyeokoka mnapoteza muda wenu bure.
 
Hiyo mimi sishangai sana, kwani wanamuziki wengi wenye majina makubwa duniani walianzia kuimba na kupiga miziki ya dini, hata huyu Flora is not an exception, ameshaanza fuata nyayo za wengine wengi waliokengeuka badala ya kumsifu Muumbaji wao, wakaamua kwenda upande wa pili kumfurahisa Lusfel! She is in transition sasa hivi utamsikia kwenye bongo flava!
 
Tuwaache kina Flora Mbasha. Hapa siwalengi hawa maana hawa ni watu wadogo. Kinachohitajika ni uhalali wa kampeni za CCM kutumia vikundi vya dini. Hapo siasa na dini haijachanganywa?
 
Sishangai Flora Mbasha kumwimbia JK, kwani nani anajua siri ya "washindwe kwa jina la....."- G.Lwakatare kuingia bungeni? Hujaona kwenye listi ya wabunge tarajiwa wapo kina vkamata? Kwa wenye uelewa mdogo chama kizuri ni kinachozoazoa hata kama hawana sifa ya kuwa bungeni, hata kama wataenda kulala bungeni bila mchango wowote kwa ajili ya nchi. Ila hatushangai sana GL asipochangia, mbona hata EL tangu afurumushwe hakufunua tena mdomo? Kinachopaliliwa hapo ni kula. Ila kila kitu kina mwisho. Kwa wenye uchungu na nchi hii Sisiemu basi wapunzike mwaka huu. Sijui hao kina marlow na mbasha wataambulia nini?
 
Ni mjukuu wa Nchungaji Mozes Kulola wa Tanzania Assemblies of GOD muulizeni askofu wake mkuu Dr Barnabas Mtokambali ameridhia hali hiyo?

Mkuu naomba nisahihishe.
Moses Kulola ni Askofu Mkuu wa Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT)
 
Mimi hainisumbui yeye kuimba kwenye mikutano ya CCM kinachonisumbua ni upofu wa watanzania hasa inapokuja kwa CCM. Hivi mfano huyu Flora Mbasha angekuwa anaiimbia CHADEMA stori ingekuwaje?, au CUF waimbiwe kaswaida stori ingekuwaje?.

Kote ni siasa na dini! au wewe unaonaje?
 
Wasanii wa Tanzania hawaeleweki. Kila siku wanalia kuwa wanaibiwa kazi zao na hivyo kuendelea kuwa masikini. Sasa sijui nani kawaambia kuwa wakigeuza vifua vyao kuwa mabango ya CCM na midomo yao kuwa redio Uhuru ndio watasaidiwa wasiibiwe! Naona ndio wantengeneza mazingira kamili ya kuibiwa. Kwanza waningilia kazi ya Komba na TOT!
 
jamani

HAMJUI CHAKLA YA MZEE ILE MBONA LONG ...T
 
Kama kuimba katika chama ni kutenda dhambi basi asiimbe lakini kama hatendi dhambi namshauri aimbe vizuri na kutumbuiza watu....kisha na yeye ajipatie pesa hizo ni baraka tu! Msiumie ndugu naomba tu! mumpongeze maana amechaguliwa kuimba its good for her.
 
.........alafu aendelee kukata miuno................na kuweka kitovu nje......mbele ya Kikwete:becky:
 
.........alafu aendelee kukata miuno................na kuweka kitovu nje......mbele ya kikwete:becky:

na wewe mchukia ufi
akate mauno na mzee akiisimamisha je??yule zeru zeru wake si atapata ukichaa ata kama anagaiwa mgao
 
nadhani vikundi hivyo vya dini kwa ufahamu wangu havihubiri dini wakati wa kampeni bali vinasifia tu sera na uzuri wa mgombea husika. mfano yule mwanagospo mashuhuri na mumewe walikampenia chama na mgombea wake wakati alipokuwa akipitishwa na chama chake.
 
Kama msanii aliyekodishwa kumpigia kampeni kikwete au kama msanii aliyekodishwa kufanya nini?

Kama msanii aliyekodishwa kumpigia kampeni kikwete na hii siyo dhambi kama baadhi ya watu wanavyofikiria.
 
Kama kuimba katika chama ni kutenda dhambi basi asiimbe lakini kama hatendi dhambi namshauri aimbe vizuri na kutumbuiza watu....kisha na yeye ajipatie pesa hizo ni baraka tu! Msiumie ndugu naomba tu! mumpongeze maana amechaguliwa kuimba its good for her.

umesema ya kweli.
 
Mwimbaji ni mhubiri wa Neno la Mungu, Neno la uzima lenye kuwapeleka watu kwa Mungu. Huduma hii ni takatifu kwani imejikita katika Kweli. Mwimbaji wa nyimbo za Injili anapojiingiza katika kuimbia mambo ya duniani anakuwa amejishusha sana: kwanza kwa sababu hayo anayoyaimba ni ya kishabiki kwa vile mengi hayaendani na ukweli wa mambo. Pili, kwa kipindi fulani anakuwa amemtelekeza Mungu wake kwa kupeleka akili na umakini wake katika mambo ya dunia. Kosa la Flora liko hapo! Kamtelekeza Mungu wa kweli: Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.

Anapaswa kujipambanua: au awe mwimbaji wa CCM au amwimbie Mungu. Ndo maana kuna wanamziki wa nyimbo za Injili na wanamuziki wa nyimbo za kidunia. Huwezi kuchanganya yote mawili. Mpanda farasi wawili hupasuka msamba. Aamue moja: tujue kwamba ni mhubiri wa Neno la Mungu au mhubiri wa siasa za CCM. Hawezi kutumikia hawa 'mabwana' wawili kwa wakati mmoja, tena kwa nguzu zake zote, akili yake yote na uwezo wake wote. Haiwezekani.
 
wadau, mimi kwaya za dini ya kikristu hazinisumbui hata, tena napenda kusikiliza maana kwa kweli zinavutia. waislamu wekeni zenu pia kama mnazo zituburudishe,
 
Back
Top Bottom