Waingereza wamesaka ushindi na wameukosa

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Timu zote tatu zilizosalia katika Klabu Bingwa Barani Ulaya toka Uingereza hazijapata ushindi katika mechi zao za mwanzo za 16 bora. Chelsea iliambulia sare ya 1-1 toka kwa PSG ya Ufaransa. Man City ikachapwa nyumbani na Barcelona 2-1. Jana Arsenal wakaadhibiwa na Monaco ya Ufaransa nyumbani 3-1.

Hadi sasa Waingereza hawajaonja ushindi katika hatua hii ya Klabu Bingwa Barani Ulaya. Huu ni uthibitisho tosha wa ubovu wa Ligi Kuu ya Uingereza ambayo imekuwa ikipigiwa promo tu kila kukicha. La Liga ya Hispania imeonja ushindi mara mbili kupitia kwa Real Madrid na FC Barcelona na kipigo kimoja cha 1-0 alichopata Atletico Madrid toka kwa Bayer Leverkusen ya Ujerumani hapo jana.

Updates..

Chelsea nje,bado Man City na Arsenal
 
  • Thanks
Reactions: tyc
Usijali..wenye kiboko yao anarudi msimu ujao....
 
Hakuna ubishi EPL ndio ligi inayoangaliwa sana duniani, ni bora kwa ushindani wa ndani na kwenye mambo ya pesa iko njemaa sana.
Tatizo lao moja tu, tactically they're miles behind ukilinganisha na La Liga au Bundesliga, bahati yao ni kuwa Serie A (home of tacticians) imedorora sana siku hizi or else EPL ingekua na hatihati ya kupokwa nafasi moja ya team zinazoingia Champions League, kutoka 4 mpaka 3.
 
Tuongee kwa facts...last 10 years i mean last ten yearswaingereza wameshinda uefa champions league Mara tatu,Spain Mara NNE,ujerumani Mara moja,Italy Mara moja...ukiangalia facts kuu ambayo ni kombe basi ukitoa Spain EPL ni second to none! Na wamefika fainali Mara TANO wakakosa kombe. Sasa utasema vipi ligi hii inasifiwa tu? Ligi zinazoshindana ni EPL na LA liga
 
Ulivyoandika utafikiri walikuwa wanacheza mechi moja. Bora ungesubiri mpaka wakacheza mechi ya marudiano ndo utoe majumuisho.

Halafu unaposema Waingereza unakuwa una maana gani? Katika hizo timu tatu kulikuwa na wachezaji wangapi wa Kiingereza?
 
Katika Europa kwa miaka 10 iliyopita
Spain wamechukua Mara 6
England Mara 1 tena na big club Chelsea.
Hii inamaanisha hata kwenye ligi ya kati bado Spain inasumbua.
 
Attachments

  • 1424958880062.jpg
    1424958880062.jpg
    22.8 KB · Views: 360
Katika Europa kwa miaka 10 iliyopita
Spain wamechukua Mara 6
England Mara 1 tena na big club Chelsea.
Hii inamaanisha hata kwenye ligi ya kati bado Spain inasumbua.

Nobody gives a damn about Europa league boss...
 
Ulivyoandika utafikiri walikuwa wanacheza mechi moja. Bora ungesubiri mpaka wakacheza mechi ya marudiano ndo utoe majumuisho.

Halafu unaposema Waingereza unakuwa una maana gani? Katika hizo timu tatu kulikuwa na wachezaji wangapi wa Kiingereza?

Timu za uingereza the same applies kwa waspanishi wajerumani waitaliano,ni timu na ligi za nchi hizi.
 
Timu zote tatu zilizosalia katika Klabu Bingwa Barani Ulaya toka Uingereza hazijapata ushindi katika mechi zao za mwanzo za 16 bora. Chelsea iliambulia sare ya 1-1 toka kwa PSG ya Ufaransa. Man City ikachapwa nyumbani na Barcelona 2-1. Jana Arsenal wakaadhibiwa na Monaco ya Ufaransa nyumbani 3-1.

Hadi sasa Waingereza hawajaonja ushindi katika hatua hii ya Klabu Bingwa Barani Ulaya. Huu ni uthibitisho tosha wa ubovu wa Ligi Kuu ya Uingereza ambayo imekuwa ikipigiwa promo tu kila kukicha. La Liga ya Hispania imeonja ushindi maa mbili kupitia kwa Real Madrid na FC Barcelona nakipio kimoja cha 1-0 alichopata Atletico Madrid toka kwa Bayer Leverkusen ya Ujerumani hapo jana.

Hapa mi naona Chelsea ndio atapita,hao wengine mwisho umefika! Labda itokee tu....
 
Timu zote tatu zilizosalia katika Klabu Bingwa Barani Ulaya toka Uingereza hazijapata ushindi katika mechi zao za mwanzo za 16 bora. Chelsea iliambulia sare ya 1-1 toka kwa PSG ya Ufaransa. Man City ikachapwa nyumbani na Barcelona 2-1. Jana Arsenal wakaadhibiwa na Monaco ya Ufaransa nyumbani 3-1.

Hadi sasa Waingereza hawajaonja ushindi katika hatua hii ya Klabu Bingwa Barani Ulaya. Huu ni uthibitisho tosha wa ubovu wa Ligi Kuu ya Uingereza ambayo imekuwa ikipigiwa promo tu kila kukicha. La Liga ya Hispania imeonja ushindi maa mbili kupitia kwa Real Madrid na FC Barcelona nakipio kimoja cha 1-0 alichopata Atletico Madrid toka kwa Bayer Leverkusen ya Ujerumani hapo jana.

tukiwambia kuwa wancheza rugby wanakuwa wakali kweli
 
Katika Europa kwa miaka 10 iliyopita
Spain wamechukua Mara 6
England Mara 1 tena na big club Chelsea.
Hii inamaanisha hata kwenye ligi ya kati bado Spain inasumbua.

Mwenzako kaweka facts za ECL ambazo ndiyo kioo na kipimo cha ubora wa ligi za Ulaya, wewe waja na records za kikombe cha mbuzi!
 
Ulivyoandika utafikiri walikuwa wanacheza mechi moja. Bora ungesubiri mpaka wakacheza mechi ya marudiano ndo utoe majumuisho.

Halafu unaposema Waingereza unakuwa una maana gani? Katika hizo timu tatu kulikuwa na wachezaji wangapi wa Kiingereza?

I have liked this one.
 
Nafikiri mnachanganya mambo hapa mnalinganisha ubora wa ligi,Laliga, EPl, Serie A, au mnaangalia ubora wa soka la waingereza kama waingereza ambapo kipimo kizuri ni mafanikio ya timu zao za taifa.
 
UEFA mi mambo za Man U matawi ya juu,ngoja tuludi mwakani tuwaonyesha how to win Chaps league..
 
Timu za uingereza the same applies kwa waspanishi wajerumani waitaliano,ni timu na ligi za nchi hizi.

Heading inasema Waingereza, siyo timu za ligi kuu ya Uingereza.

Maana kama walikuwa Waingereza, Man City ilikuwa na Waingereza wangapi?
 
Mwenzako kaweka facts za ECL ambazo ndiyo kioo na kipimo cha ubora wa ligi za Ulaya, wewe waja na records za kikombe cha mbuzi!

Nilichokuwa namaanisha ligi ya Spain zenye uwezo wa kati ni bora kuliko timu za England zenye uwezo Wa kati
 
Heading inasema Waingereza, siyo timu za ligi kuu ya Uingereza.

Maana kama walikuwa Waingereza, Man City ilikuwa na Waingereza wangapi?

Sawa. Content inasema timu za uingereza.
 
Ulivyoandika utafikiri walikuwa wanacheza mechi moja. Bora ungesubiri mpaka wakacheza mechi ya marudiano ndo utoe majumuisho.

Halafu unaposema Waingereza unakuwa una maana gani? Katika hizo timu tatu kulikuwa na wachezaji wangapi wa Kiingereza?

Mkuu EMT, waingereza=timu za uingereza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom