Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Timu zote tatu zilizosalia katika Klabu Bingwa Barani Ulaya toka Uingereza hazijapata ushindi katika mechi zao za mwanzo za 16 bora. Chelsea iliambulia sare ya 1-1 toka kwa PSG ya Ufaransa. Man City ikachapwa nyumbani na Barcelona 2-1. Jana Arsenal wakaadhibiwa na Monaco ya Ufaransa nyumbani 3-1.
Hadi sasa Waingereza hawajaonja ushindi katika hatua hii ya Klabu Bingwa Barani Ulaya. Huu ni uthibitisho tosha wa ubovu wa Ligi Kuu ya Uingereza ambayo imekuwa ikipigiwa promo tu kila kukicha. La Liga ya Hispania imeonja ushindi mara mbili kupitia kwa Real Madrid na FC Barcelona na kipigo kimoja cha 1-0 alichopata Atletico Madrid toka kwa Bayer Leverkusen ya Ujerumani hapo jana.
Updates..
Chelsea nje,bado Man City na Arsenal