Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 3,132
- 5,508
Hawa ni wainjilisti wa kikristu walioleta chachu ya mabadiliko makubwa ya kiimani katika jamii za wafulani na wahausa Nigeria kaskazini
Baada ya kukiri imani juu KRISTU YESU wamekuwa msaada mkubwa katika kuwakaribisha wageni kwenye Imani na kuongeza utukufu kwenye taifa la Mungu
Lakini mbali na mafanikio haya wainjilisti hawa wamekuwa wakipitia misukosuko mingi na upinzani mkubwa kutoka kwa watu wa Imani ingine hasa ile waliyotoka wakishutumiwa kujaribu jamii hizo na misingi yao.
Lakini zaidi ya hayo bado wamekuwa imara na kusaidia mwanga ndani ya kanisa kumulika pote
HAKIKA KUISHI NI KRISTU NA KUFA NI FAIDA

Attachments
-
Screenshot_20241029-195552.png344.4 KB · Views: 7 -
Screenshot_20241029-195539.png158.3 KB · Views: 11 -
Screenshot_20241029-195525.png374.5 KB · Views: 6 -
Screenshot_20241029-195200.png204.4 KB · Views: 8 -
Screenshot_20241029-195250.png322.8 KB · Views: 11 -
Screenshot_20241029-195214.png302.8 KB · Views: 9 -
Screenshot_20241029-195856.png299.3 KB · Views: 7 -
Screenshot_20241029-195622.png281 KB · Views: 6