Wainjilisti waliotoka uislamu Musa B. Musa, Ibrahim Dikko, Muhammad Muhammad jinsi wanavyowindwa Nigeria kaskazini

Mkuu kama bado uko hai Mungu ashukuriwe sana kwani hawa jamaa hawakawii kupeleka maombi msikitini uombewe ufe au upake na wazimu, sielewi kwanini hawapendagi ukweli.
Damu ya YESU KRISTU imeimarisha kinga dhidi ya hila zote juu yangu. Kama ningeongea uongo ningedhurika lakini lakini nasema ukweli mtupu ambao ndiyo msingi wetu wakristu..

KUISHI NI KRISTU NA KUFA NI FAIDA
 
Jini FaizaFixy anakutafuta kupinga kauli yako, hapendi kusikia ukweli hata kidogo.
 
Back
Top Bottom